TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Thursday, November 12, 2015

DADA WA KIARABU ALIYEPIGWA MILIONI TISA NA MUME NA MKE WANAODAIWA KUWA TISHIO KWA UTAPLEI JIJINI DAR, AAPA KUWASOMEA DUA ILI MUNGU AWAADHIBU, JESHI LA POLISI LAENDELEA NA MSAKO MKALI..!

Surutana Khamis ambae ndiye mwenye RB hii MAG/ RB/ 9768/ 2015 KUJIPATIA MALI KWA NJIA YA UDANGANYIFU ambayo ameifungulia kituo cha Polisi Magomeni, amesikitishwa vikali na kauri za mumewe Brigitte Vitalis  aitwae Norberth Edward Hizza kuwa yeye hausiki kwenye kesi hii wakati yeye  mara pili ndiye aliyekuja Dukani kuchukua vitu baada ya mara ya kwanza kuja yeye na mkewe, hata hivyo dada huyu wa Kiarabu amesema kama Norberth anaona mimi nimesema uwongo kwenye vyombo vya habari basi aende na Rb namba hizo juu pale kwa Mkuu wa kituo cha Polisi Magomeni amueleze kama yeye amemchafua uwongo hausiki, afanye hivyo kama ana ubavu aone kitakachotokea kwani hata Polisi hao.

 Kamishna wa Polisi Kanda Maalum Dar -es Salaam Bwana Suleiman Kova.

 Brigitte Vitalis  na husband wake  Norberth Edward Hizza ambao wakiwa kwenye picha ya pamoja.
 Brigitte Vitalis  na husband wake  Norberth Edward Hizza .
 Brigitte Vitalis  na husband wake  Norberth Edward Hizza .
 Brigitte Vitalis  na husband wake  Norberth Edward Hizza wakifurahia maisha baada ya kudaiwa kutoka kumpiga dada huyo wa kiarabu milioni tisa kwa kuchukua vitu mbalimbali vyenye samani hiyo.
Bingwa Brigitte Vitalis akiongea na simu kwa ajiri ya mipango ya kazi huku mumewe Norberth Edward Hizza akisikiliza mchongo.

Na Sakina Shabani
 Surutana Khamis ambae ni mmoja wa wahanga waliojitokeza kuzungumza na vyombo vya habari kuhusu kudaiwa kutapeliwa na wananandoa hawa Brigitte Vitalis  na mumewe aitwae  Norberth Edward Hizza milioni tisa baada ya kuchukua vitu vya gharama hizo dukani kwake.
Akizungumza juzi na gazeti hili Surutana Khamis amesema atadai haki yake hadi tone la mwisho na hata kama mkono wa dola ukishindwa kuwanasa watu hao ili wamrudishie mali zake basi atatumia njia mbadala ambayo ni dua maalum ili kwani kamwe jasho lake haliwezi kwenda bure.
Akizungumza juzi pia na wana habari juzi Surutana amesikitishwa na kauri anazotoa Norberth Edward Hizza kuwa eti yeye hausiki kwenye hizi kesi za utapeli" Huyu kaka kwenye hii kesi MARB97682015 KUJIPATIA MALI KWA NJIA YA UDANGANYIFU yeye ni mtuhumiwa namba moja kwa vile ndiye aliyekuja kuchukua vitu dukani, hivyo asitake kujisafisha mtaani huko alikojificha aende pale Polisi kwa Mkuu wa Upelelezi, au OCD wa Magomeni akiwa na RB hiyo kisha alalamike kwamba yeye hausiki na kachafuliwa halfu majibu yake atayapata pale" Alisema msichana huyo kwa uchungu kutokana na kwa sasa kuyumba kibiashara kutokana pesa yote kumalizikia kwa Brigitte Vitalis  na   Norberth Edward Hizza.
Surutana Khamis aliongeza kusema kuwa kama Norberth anaona kweli yeye anasingiziwa basi anende hata kwa Kamanda Kova na hiyo RB aseme ni ya uongo ili sisi tushtakiwe kwa kugushi taarifa hiyo na kundi nzima kati yetu tushtakiwe.
 Dada huyo aliendelea kusema kuwa yeye ni mmoja kati ya wanawake wanaojitafutia ridhiki kwa haki hivyo ni vyema hata Serikali kupitia Jeshi la Polisi wawasaidie kukamatwa kwa watuhumiwa hao kwa vile wanawake wanaodaiwa kutapeliwa wapo wengi, hata tangu habari hizi zianze kusambaa mitandaoni na magazetini watu wengi zaidi wamejitokeza nao wakilalamika kutapeliwa na Brigitte Vitalis lakini huku wakisubiri kama atakamatwa basi wajazane Polisi kwani wengi wamemtafuta bila mafanikio.
Hata hivyo Surutana  kushirikiana na wale wanawake wengine wanyonge wenye kesi namba hii OB/RB/11345/2014 JALADA LA UCHUNGUZI ya mwaka jana, na nyingine ya mwandishi wa habari aitwae Teddy Dinghoka milioni kumi na mbali. ambae alipigwa milioni kumi na mbili wote kwa pamoja wameshukuru Jeshi la Polisi Kanda ya Kinondoni kwani hadi sasa wanaendelea kufanya msako mkali wa nyumba hadi nyumba na Mungu mkubwa huenda siku si nyingi watuhumiwa hao watadakwa na kufikishwa mbele ya pilato kwa tuhuma hizo nzito.
Hata hivyo walitafutwa wanandoa hao kwa njia ya simu ambao simu zao ziliita tu bila majibu na kuna taarifa kama namba ngeni hawawezi kupokea kutokana na hofu ya kukamatwa na Polisi.


No comments:

Post a Comment