TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Wednesday, December 11, 2013

HUU NDIO MUONEKANO WA GAZETI JIPYA LA MASKANI BONGO LEO TAREHE 11 LIPO MTAANI WAHI KOPI YAKO UPATEHABARI ZILIZOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA, PICHA NA MATUKIO1

 Ukurasa wa mbele wa Gazeti la Maskani Bongo leo mtaani
  Ukurasa wa nyuma wa Gazeti la Maskani Bongo leo mtaani
 Katuni kama hii auwezi kuipta mahara pengine isipokuwa ndani ya gazeti la Maskani Bongo tu "MAHABA"
  Kazi kazi ndani ya GAZETI la Maskani Bongo kuna zaidi ya uhondo.
  Huyu jamaa anaitwa "MAKAMBO MINGI" si mchezo soma mambo yake ndani ya gazeti la Maskani Bongo ufurahie maisha
Dogo anaitwa TOZIBITONGA ni mambo yake si mchezo
  Huyu mzee anaitwa "MSITAFU WA MWALIMU" Mambo yake sio mchezo mfatilie uone balaa lake
  Afande: Anaitwa KAMANDA MINYOTA  visa vyake ni balaa ndani
  The Big Boss anaitwa" PAPA MIFWEZA" yeye kwake pesa karatasi
 Pozi la kwenda kuoga hilo hahahahaha...burudani mwanzo mwisho
 Heka heka Uswazi utakutana na vituko kama hivi haya yote yatapatikana kwenye gazeti la Maskani Bongo kila siku za Jumatano asubuhi.
Na Sakina Sahabani
Lile gazeti pendwa namba moja Tanzania hatimae limeanza kutoaka leo hii na litakuwa mtaani kila siku za Jumatano kwa kopi ya shilingi mia tano tu.
Aidha kwa habari zaidi kuhusiana na gazeti hili pamoja na habari zake usikose kupita blog hii ya Xdeejayz ili kupata kinachojiri ndani yake pamoja matukio yote.
"CLUB MAISHA SASA ZINAPATIKANA MTWARA. DODOMA, MBEYA. DODOMA, MOROGORO na DA'SALAAM usikose kutemelea kuona tofauti ya burudani"

No comments:

Post a Comment