TANGAZO MAALUM
TANGAZA NA SISI
Friday, February 13, 2015
Wednesday, February 11, 2015
NIGERIA WASIKITIKIA FILAMU YA EXPENDABLES YA TANZANIA, WASEMA KAMA INGEFANYWA NCHINI HUMO MANAIKI SANGA ANGEKUWA SIO MWENZETU TENA...!
Na Mwndishi Wetu
Nyota wa filamu nchini Nigeria wamempongeza msanii wa filamu nchini Tanzania Manaiki Sanga " The Don" kwa kuandika historia mpya Tanzania kwa kufanya filamu kubwa na ya kwanza nchini ya Expendables au Wake Up.
Lakini hata hivyo katika taarifa hizo toka kwenye mtandao mmoja wa wasaniii wa filamu nchini humo wenye muunganiko na mtandao wa Filamu Central wa Tanzania unamilikiwa na mdau wa filamu za Kitanzania Mfwahisa Georg. walisema kuwa wanamsikitia msanii Manaiki Sanga kwa kutumia mamilioni ya shilingi kuandaa filamu hiyo ambayo hata nchini Nigeria haijawahi kufanywa lakini huenda asipate faida kubwa kutokana na Kampuni nyingi za usambazaji filamu Tanzania kuwa wanyonyaji.
Wasanii hao waliendelea kusema kimsingi ingekuwa kama Manaiki Sanga ndiyo mnigeria na amefanya filamu hiyo nchini humo basi leo hii angekuwa bilionea kwa kazi yake hiyo nzuri.
Filamu hiyo iliyowashirikisha wasanii kama Irene Uwoya, Jackline Wolper, Gabo, Othuman Amri “King Majuto” Kajala, Yusuph Mlela, Tausi, Aisha Boko, Hemed Suleiman, Quickrocker, Kupa,Duma, Mama Abdul, Flora Mvungi, Tracy Moshi, Hemed Kavu “HK” kwa upande wa wanaumziki ni Country Boy, Nas B, Kiss, Juta B, akiwemo mwenyewe Manaiki Sanga ambae ndiye staa wa filamu hiyo na wengine wengi huku ikielezwa kwamba filamu hiyo ipo kwenye biashara kwa wadosi wa Spets .Credit: maskanibongotz

Friday, February 6, 2015
Rais Wa Ujerumani Asisitiza Jambo Afrika Mashariki
rais wa Ujerumani Bw. Joachim Gauck amezitaka nchi za
jumuiya ya Afrika Mashariki kuimarisha ushirikiano miongoni mwao.
Ushirikiano huo unahusisha kukabiliana na changamoto zilizopo
pamoja na kuimarisha misingi ya haki za binadamu.
Aidha, Bw. Gauck amesema hayo baada ya kuhitimisha ziara yake hapa nchini kwa kutembelea makao makuu ya mahakama ya afrika inayoshughulikia haki za binadamu na jumuiya ya Afrika Mashariki zote zilizoko jijini Arusha.
Naye Rais wa mahakama ya Afrika jaji mstaafu Agustino Ramadhani na katibu mkuu wa jumuiya ya Afrika Mashariki Dr. Richard Sezibera wamesema ziara hiyo imefungua ukurasa mpya wa ushirikiano na imeongeza chachu ya maendeleo.
Kwa upande mwingine Rais huyo amemaliza ziara yake nchini Tanzania kwa kutembelea hifadhi ya taifa ya Serengeti ikiwa ni kuhamasisha watalii kutoka nchini Ujerumani.

WATANZANIA WAISHIO NJE YA NCHI KUPIGA KURA OKTOBA MWAKA HUU KUTUMIA TEKNOLOJIA MPTA...!
Serikali ya Tanzania imedokeza kuna
uwezekano wa kuweka historia kwa Watanzania waishio nje kupiga kura
katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba.
Waziri
mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda akizungumza na wabunge wa nchi hiyo
Bungeni Dodoma, katikati mwa Tanzania, amesema Tume ya Uchaguzi (NEC) na
Tume ya uchaguzi Zanzibar(ZEC),tayari wameanza kufanyia kazi mipango ya
kuwezesha Watanzania waishio nje waweze kushiriki zoezi la kupiga kura."Watanzania walio nje wana haki kushiriki katika zoezi hili na tuna nia ya kuona hilo linafanyika."alieleza Waziri Pinda
Hata hivyo imesemekana kuna changamoto za kiufundi ambazo amesema anaamini tume ya uchaguzi NEC na ZEC zitashughulikia
WANANCHI WA KINONDONI WAMKAANGA MKUU WA KITUO CHA POLISI ANAEWANYANYASA, WAMUOMBA AMUONDOE HARAKA HAWAMTAKI, ASHINDA AKIIMBA NYIMBO ZA MAPAMBIO MCHANA KUTWA...!
Wananchi mbalimbali wanaishi
Kinondoni Moscow Kata ya Hananasif wamemuomba Waziri wa Mambo ya Ndani Mh
Mathias Chikawe kumuondoa Mkuu wa kituo Kidogo cha Polisi cha Hananasif
aliyefahamika kwa jina la Sajent Deogratus kwa madai ya kuwanyanyasa kwa kauri
mbaya na kuwafokea bila kuwapatia huduma. Wakiongea na gazeti moja hivi
karibuni wananchi walisema kuwa mkuu huyo wa kituo ambae ni mtu mzima
amepelekea Wananchi kuanza kulichukia Jeshi hilo kupitia yeye kwa vile
ameshindwa kuwa na ushirikiano nao hali inayoondoa amani katika kitongoji
hicho. Aidha wakazi hao walimaliza kusema wana imani na wakuu wa idara hiyo
kwani licha ya Serikali za mtaa huo kuitia Mwenyekiti wao Selemani Rada
kupeleka taarifa kituo cha Polisi cha Oysterbay kwa ajiri ya kubadilishiwa mkuu
huyo wa kituo lakini imekuwa patupu. Wananchi walimaliza kusema kuwa kutokana
na mtaa wao kuhitaji mkuu wa kituo mwenye kichwa ngumu na mchapakazi wameliomba
Jeshi hilo kumrejesha aliyewahi kuwa mkuu wa kituo hicho Sajent Chalo ambae
aliweza kusambaratisha uharifu wote kiasi cha vijana wengi kustaafa uharifu na
kujiingiza kwenye vikundi vya biashara ili kujipatia pesa kwa njia harali.
Aisha Sajent Chalo pia alikuwa na mbinu za kisasa za kuondoa uharifu ni pamoja
na kukaa vikao mara kwa mara na vijana hao wa kihuni na kuwasihi kaucha uharifu
hali iliyozaa matunda na sasa wamemuomba Kamanda Wambura kufanya jitihada za
kumrejesha Sajent Chalo haraka ili kunusuru hali ya usalama katika eneo hilo.
MKUU WA KITUO CHA
POLISI KINODNDONI ADAIWA KUWANYANYASA WANANCHI, WAMTAKA WAZIRI CHIKAWE
KUWASAIDIA HARAKA TATIZO HILI SUGU...! Posted by maskani bongo at 6:11
AM Waziri mambo ya ndani ya Nchi Mathias Chikawe ambae ameombwa na
wananchi wakazi wa Kitongoji cha Kinondoni Moscow kata ya Hananasif
kutatua tatizo hilo la kuhamishwa mkuu wa kituo kidogo cha Polisi cha
Hananasif aliyefahamika kwa jina Sajent Deogratus Kamanda wa Polisi
Kanda Maalum Suleiman Kova Igp Ernest Mangu Rais Dr Jakaya Mrisho
Kikwete Camillius Wambura Wananchi mbalimbali wanaishi Kinondoni Moscow
Kata ya Hananasif wamemuomba Waziri wa Mambo ya Ndani Mh Mathias Chikawe
kumuondoa Mkuu wa kituo Kidogo cha Polisi cha Hananasif aliyefahamika
kwa jina la Sajent Deogratus kwa madai ya kuwanyanyasa kwa kauri mbaya
na kuwafokea bila kuwapatia huduma. Wakiongea na gazeti moja hivi
karibuni wananchi walisema kuwa mkuu huyo wa kituo ambae ni mtu mzima
amepelekea Wananchi kuanza kulichukia Jeshi hilo kupitia yeye kwa vile
ameshindwa kuwa na ushirikiano nao hali inayoondoa amani katika
kitongoji hicho. Aidha wakazi hao walimaliza kusema wana imani na wakuu
wa idara hiyo kwani licha ya Serikali za mtaa huo kuitia Mwenyekiti wao
Selemani Rada kupeleka taarifa kituo cha Polisi cha Oysterbay kwa ajiri
ya kubadilishiwa mkuu huyo wa kituo lakini imekuwa patupu. Wananchi
walimaliza kusema kuwa kutokana na mtaa wao kuhitaji mkuu wa kituo
mwenye kichwa ngumu na mchapakazi wameliomba Jeshi hilo kumrejesha
aliyewahi kuwa mkuu wa kituo hicho Sajent Chalo ambae aliweza
kusambaratisha uharifu wote kiasi cha vijana wengi kustaafa uharifu na
kujiingiza kwenye vikundi vya biashara ili kujipatia pesa kwa njia
harali. Aisha Sajent Chalo pia alikuwa na mbinu za kisasa za kuondoa
uharifu ni pamoja na kukaa vikao mara kwa mara na vijana hao wa kihuni
na kuwasihi kaucha uharifu hali iliyozaa matunda na sasa wamemuomba
Kamanda Wambura kufanya jitihada za kumrejesha Sajent Chalo haraka ili
kunusuru hali ya usalama katika eneo hilo. Email ThisBlogThis!Share to
TwitterShare to Facebook Copy and WIN : http://bit.ly/copynwin
Copy and WIN : http://bit.ly/copynwin

Subscribe to:
Posts (Atom)