TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Friday, February 6, 2015

WANANCHI WA KINONDONI WAMKAANGA MKUU WA KITUO CHA POLISI ANAEWANYANYASA, WAMUOMBA AMUONDOE HARAKA HAWAMTAKI, ASHINDA AKIIMBA NYIMBO ZA MAPAMBIO MCHANA KUTWA...!

Wananchi mbalimbali wanaishi Kinondoni Moscow Kata ya Hananasif wamemuomba Waziri wa Mambo ya Ndani Mh Mathias Chikawe kumuondoa Mkuu wa kituo Kidogo cha Polisi cha Hananasif aliyefahamika kwa jina la Sajent Deogratus kwa madai ya kuwanyanyasa kwa kauri mbaya na kuwafokea bila kuwapatia huduma. Wakiongea na gazeti moja hivi karibuni wananchi walisema kuwa mkuu huyo wa kituo ambae ni mtu mzima amepelekea Wananchi kuanza kulichukia Jeshi hilo kupitia yeye kwa vile ameshindwa kuwa na ushirikiano nao hali inayoondoa amani katika kitongoji hicho. Aidha wakazi hao walimaliza kusema wana imani na wakuu wa idara hiyo kwani licha ya Serikali za mtaa huo kuitia Mwenyekiti wao Selemani Rada kupeleka taarifa kituo cha Polisi cha Oysterbay kwa ajiri ya kubadilishiwa mkuu huyo wa kituo lakini imekuwa patupu. Wananchi walimaliza kusema kuwa kutokana na mtaa wao kuhitaji mkuu wa kituo mwenye kichwa ngumu na mchapakazi wameliomba Jeshi hilo kumrejesha aliyewahi kuwa mkuu wa kituo hicho Sajent Chalo ambae aliweza kusambaratisha uharifu wote kiasi cha vijana wengi kustaafa uharifu na kujiingiza kwenye vikundi vya biashara ili kujipatia pesa kwa njia harali. Aisha Sajent Chalo pia alikuwa na mbinu za kisasa za kuondoa uharifu ni pamoja na kukaa vikao mara kwa mara na vijana hao wa kihuni na kuwasihi kaucha uharifu hali iliyozaa matunda na sasa wamemuomba Kamanda Wambura kufanya jitihada za kumrejesha Sajent Chalo haraka ili kunusuru hali ya usalama katika eneo hilo.

MKUU WA KITUO CHA POLISI KINODNDONI ADAIWA KUWANYANYASA WANANCHI, WAMTAKA WAZIRI CHIKAWE KUWASAIDIA HARAKA TATIZO HILI SUGU...! Posted by maskani bongo at 6:11 AM Waziri mambo ya ndani ya Nchi Mathias Chikawe ambae ameombwa na wananchi wakazi wa Kitongoji cha Kinondoni Moscow kata ya Hananasif kutatua tatizo hilo la kuhamishwa mkuu wa kituo kidogo cha Polisi cha Hananasif aliyefahamika kwa jina Sajent Deogratus Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Suleiman Kova Igp Ernest Mangu Rais Dr Jakaya Mrisho Kikwete Camillius Wambura Wananchi mbalimbali wanaishi Kinondoni Moscow Kata ya Hananasif wamemuomba Waziri wa Mambo ya Ndani Mh Mathias Chikawe kumuondoa Mkuu wa kituo Kidogo cha Polisi cha Hananasif aliyefahamika kwa jina la Sajent Deogratus kwa madai ya kuwanyanyasa kwa kauri mbaya na kuwafokea bila kuwapatia huduma. Wakiongea na gazeti moja hivi karibuni wananchi walisema kuwa mkuu huyo wa kituo ambae ni mtu mzima amepelekea Wananchi kuanza kulichukia Jeshi hilo kupitia yeye kwa vile ameshindwa kuwa na ushirikiano nao hali inayoondoa amani katika kitongoji hicho. Aidha wakazi hao walimaliza kusema wana imani na wakuu wa idara hiyo kwani licha ya Serikali za mtaa huo kuitia Mwenyekiti wao Selemani Rada kupeleka taarifa kituo cha Polisi cha Oysterbay kwa ajiri ya kubadilishiwa mkuu huyo wa kituo lakini imekuwa patupu. Wananchi walimaliza kusema kuwa kutokana na mtaa wao kuhitaji mkuu wa kituo mwenye kichwa ngumu na mchapakazi wameliomba Jeshi hilo kumrejesha aliyewahi kuwa mkuu wa kituo hicho Sajent Chalo ambae aliweza kusambaratisha uharifu wote kiasi cha vijana wengi kustaafa uharifu na kujiingiza kwenye vikundi vya biashara ili kujipatia pesa kwa njia harali. Aisha Sajent Chalo pia alikuwa na mbinu za kisasa za kuondoa uharifu ni pamoja na kukaa vikao mara kwa mara na vijana hao wa kihuni na kuwasihi kaucha uharifu hali iliyozaa matunda na sasa wamemuomba Kamanda Wambura kufanya jitihada za kumrejesha Sajent Chalo haraka ili kunusuru hali ya usalama katika eneo hilo. Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to Facebook Copy and WIN : http://bit.ly/copynwin Copy and WIN : http://bit.ly/copynwin

Copy and WIN : http://bit.ly/copynwin

No comments:

Post a Comment