TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Tuesday, October 28, 2014

NDOA YA MFANYABISHARA MAARUFU KARIAKOO ALIYENASWA MTEGO WA NGONO YASAMBARATIKA..!







 MFANYABIASHARA TAJIRI DAUD MPENDA ALIYENASWA MTEGO WA NGONO
 DUKA LA DAUD MPENDA LA KUUZA SIMU LILIOPO MTAA WA AGREY MWANZO KABISA
Na Sakina Shabani
Unakumbuka lile sakata la mfanyabishara aliyenaswa na kwenye mtego wa ngono baada ta wananchi kuchoka na vitendo vya kifuska hatimae mfanyabishara huyo aliyefahamika kwa jina la Daud Mpenda amerejea nchini siku za hivi karibuni kufuatia kukimbia mji kwa aibu iliyomkuta huku kukiwa na taarifa kuwa mkewe amekimbia nyumba.
Habari za uhakika zilizonaswa na mtandao huu zinasema kuwa tajiri huyo tangu kutokea kwa tukio hilo la kunasa mtego wa ngono baada ya kuwekewa mtego na waandishi wa Habari kufuatia malalamiko mengi ya wananchi juu ya unyanyasaji wanaofanyiwa wasichana wafikapo dukani kwake.
Hata habari hizo zilisema kuwa mke wa Daud ambae ni Mhehe mara baada ya kutokea tukio la kufumaniwa na habari zake zake kusambaa mitandaoni pamoja na kwenye magazeti pendwa  huku picha za ushahidi zikioneka live bila king'amuzi basi mke huyo alifungasha kila kilicho chake na kurudi kwako pia sababu nyingine iliyosababisha kukimbia ni kuhofia maradhi  ya Ugonjwa wa Ukimwi kwani mme huyo ambae hupenda kufanya ngono nzembe.
Daud mbae mara baada ya kufumaniwa ilidaiwa alikimbilia nchini Afrika Kusini kupumnzika  ili so la aibu lipungue..!

No comments:

Post a Comment