TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Thursday, July 31, 2014

MZEE MGARI NA MSANII TRACYTRAVES WANASWA LIVE WAKIPEANA MALAVIDAVI SIKUKUU YA IDD, MAGARI ANG'AKA NA KUSEMA ATAFUNGA MTU KAMA PICHA HIZI ZITATOKA HEWANI ANGALIA BALAA HILI..!

 Msanii  wa bongo movie toka Tanga ambae kwa sasa amehamia Jijini Dar aliyefahamika kwa jina la  Brin Ernest Moshy " Tracytraves" ambae picha zake na msanii Thibias Mgari zimezusha balaa mitandaoni na inadaiwa wawili hao kuna jambo linaendelea kati yao.
  Tracytraves na Mgari picha hii pia imezusha maswali mengi kutokana na eneo husika ambalo linadaiwa ni Hotel huku wakiwa wawili tu.


Na Livingstone Mkoi
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na kushtua wasanii Tracytraves na Mgari picha zao zikiwaonesha wakiwa kimahaba zimezusha balaa kubwa kwenye jamii kiasi cha kushtua wengi.
Picha hizo ambazo zinaonekana zilipigwa msimu huu wa sikukuu ya Idd katika Hotel moja maarufu iliyopo Zanzibar ambapo haikufahamika walikuwa ndani ya Hotel kwa kazi gani.
Mtandao huu mra baada ya kuzinasa picha hizo uliwatafuta wahusika wote wawili kwa ajili ya kuweka bayana ambapo mzee magari alikuwa wa kwanza kutafutwa na alijibu kama ifuatavyo"  Jamani kwani msanii siyo binadamu ambae anaweza kuwa karibu na mwanamke au kuna kwa vile amepiga mzee magari sio? Sasa natoa angalizo kama mtandao wowote utakaotoa picha hizo naushtaki haki ya Nani nakwambieni" Alisema mzee huyo
Upande wa Tracytraves alipotafutwa kupitia simu yake ya kiganjani iliita bila kupokelewa hadi habari hii inaruka kiganjani.

No comments:

Post a Comment