TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Thursday, July 31, 2014

MGANGA WA MASTAA NCHINI AMTABIRIA MAKUBWA ALLYKIBA, ASEMA ATARUDI KWENYE CHATI NA KUWA ZAIDI YA DIAMOND LAKINI ATOA ANGALIZO..!

 MGANGA WA MASTAA NCHINI NA WAFANYABIASHARA PAMOJA NA VIGOGO WA SERIKALI AKIWA NA VIFAA VYAKE KAZINI
MWANAMUZIKI ALLYKIBA AMBAE KWA SASA AMEREA KWA KASI KWENYE ANGA YA MUZIKI WA BONGO FLAVA BAADA YA KUPOTEA KWA MUDA HUKU MWANAMUZIKI DIAMOND AKIONEKANA KUWABURUZA WENZAKE.
Na Mwandishi Wetu
Mganga maarufu nchini na nje ya nchi kwa kutibu watu kutumia miti shamba tu ameibuka na kusema kuwa mwanamuziki Ally kiba mwaka huu ni wake na tayari atarejea kwenye ufalme wa bongo flava baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu.
Akiongea na blog hii Dokta Kamdege anaepatikana kwa simu namba 0788-844490, 0763-146231 alisema kuwa kiukweli Allykiba alikuwa amefunikwa na Diamond lakini kwa sasa ufalme wa Diamond unaelekea kuisha na tayari Allykiba ameanza kuonesha njia ya kurejea kwenye chati.

Mganga huyo ambae kwa muda mrefu amekuwa na uhudsiano na mwanamuziki Diamond pamoja na Penniel na kwa sasa anapatikana Jijini Dar ambako alikuja kwa mwaliko wa watu wa Dar na ameendelea kutoa uwito kwa wakazi wote kumuona mara moja kwani hivi karibuni ataelekea nchini Kenya ambako ameitwa huko.
Mganga huyo amekuwa akiwasaidia maelfu ya watanzania kwa kuwanyooshea mambo yao kutumia miti shamba ambao kwa waliokuwa hawana ajira licha ya kuwa walikuwa na elimu, wafanyabiashara wanaojitahidi kufanyakazi usiku na mchana lakini hakuna mafanikio wote kwa sasa wanacheka vicheko vya furaha.

No comments:

Post a Comment