TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Thursday, July 10, 2014

INASIKITISHA SANA HIVI NDIVYO MABASI YA MH SHABABY YANAVYOZUSHA BALAA NCHINI TANZANIA, WADAI DODOMA WATOA MAONI YAO, ANGALIA TAARIFA HII HAPA..!

Mabasi mapya ya mwendo kasi ya yaliyoshushwa na kampuni ya Shabiby na yamekuwa kivutia kikubwa kwa wasafari wa mikoa ya Kanda ya Kati na kusababisha kuyagombania kila siku
Na Livingstone Mkoi
Mabasi mapya ya mwendo kasi ya Mh Shabiby yameendelea kuzusha balaa nchini Tanzania baada ya kampuni hiyo kutangaza kuwa inashusha mzigo mwingine mpya wa mabasi ambayo yataanzisha safari karibu mikoa yote Tanzania.
Akiongea na Xdeejayz Tanzania meneja wa kampuni hiyo Saidi Shabiby alisema" Unajua tunafanya hivi kulingana na matakwa ya wananchi hivyo kampuni imeagiza mzigo mwingine wa mabasi ambao tutaanzisha safari mpya kwenye mikoa zaidi ya sita ukiacha safari mpya ya Dar Singida tuliyoianzisha hivi karibuni" Alisema Saidi

No comments:

Post a Comment