TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Thursday, July 10, 2014

MGANGA WA MASTA NCHINI AWEKA WAZI MITI SHAMBA YAKE ANAYOITUMIA KUWATAJIRISHA WATU, MADOKTA WA KICHINA WATUA NCHINI KUZIFANYIA UCHUNGUZI DAWA ZAKE..!


Hii ni moja za dawa za miti shamba nazotumia Dk Kamdege kuwasafishia watu na kuondoa nuksi zote



Mzee wa Kichina ambae alifunga safari toka nchini kwao hadi Tanzania kwa ajili ya kuchungua miti shamba kwa Dokta Kamdege.

Familia hii toka nchini China wakiwa kwenye viunga vya kibanda cha Dokta Kamdege wakiangalia mitishamba ambayo inatafutwa sana nchini kwao.


 Dk Kamdege akiwa tunguri zake zilizojaa mitishamba 

Mganga wa mastaa nchini Dokta Kamdege ameweka wazi miti shamba anayoitumia kuwasaidia wananchi wenye shinda na kusema tiba zake sio uchawi ni miti shamba tu ndiyo inayofanyakazi.
Akiongea na mwandishi wetu kwa njia ya simu namba 
0788-844490 mganga huyo alisema" Unajua watu wengi wakiona tungur basi wanajua ni uchawi kumbe sio kweli hizi ni miti shamba kama hizo zinazoonekana hapo juu ambazo kazi yake ni kuwaagua watu wenye shida na kuwasaidia kuwa na mafanikio" Alisema 
Aidha Mganga huyo aliongeza kusema katika miti shamba hiyo ipo inayotumika kuwaondolea watu nuksi na kuwafanyakuwa na mafanikio na zipo zinazosaidia kukuza biashara ya mtu haraka na kuzikinga, zipo zenye kutibu magonjwa mbalimbali na za kung'alisha nyota yako na kuwa ya kipekee duniania.
Hata hivyo mganga huyo ameendelea kutoa uwito kwa watanzania hasa wakazi wa Jiji la Dar kuwa wachangamkie uwepo wake ili kutatua matatizo yao na amefikia Kiwalani.

No comments:

Post a Comment