TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Monday, June 2, 2014

UZINDUZI WA 93.7 E-FM HAIJAWAHI TOKEA, MASHABIKI ZAIDI YA 40.000 WAHUDHURIA, JESHI LA POLISI TEMEKE LAONESHA UWEZO WA HALI JUU KIUSALAMA WASAMBATARISHA MAKUNDI YA KIHARIFU, MKUDE SIMBA AWA NYOTA WA MCHEZO..!

 Kamanda wa Polisi Temeke Bw Kiondo "RPC"
  Kitale A.K.A Mkunde Simba

  Nas B

  Ommy Dimpoz

  Wanausalama wakiwa maeneo ya Mwembe Yanga kuimarisha usalama

Na Livingstone Mkoi
Lile tamsha kubwa la uzinduzi wa radio ya 93.7 E-FM hatimae limefanyika jana katika viwanja vya Mwembe Yanga na kufanikiwa kuvunja rekodi ya matamasha yote yaliwahi kufanyika katika viwanja hivyo.
Paparazi wetu aliyekuwa kwenye viunga vya uwanja huo alisema kuwa watu zaidi ya elfu 40 walifika kushuhudia uzinduzi huo licha ya kasoro kidogo iliyojiotekeza ya baadhi ya vijana wa kihuni walijaribu kutaka kuvunja amani lakini kama Kamanda wa Polisi Temeke alivyokuwa ameahidi ulinzi wa kutosha basi ikawa hivyo kwa vijana hao walisambatisha huku zikiwa bado dakika ishirini onesho kumalizika.
Hata hivyo wananchi wengi wa eneo hilo wameipongeza radio hiyo pamoja na Jeshi la Polisi kwa kudhibiti mapema vijana hao na wengi wao kukamatwa, lakini pamoja na hayo yote onesho liliisha salama kabisa.

No comments:

Post a Comment