TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Wednesday, October 23, 2013

MASTAA WA KIKE BONGO MOVIE KUREKODI PICHA YA NGONO, MANAIKI SANGA, DIAMOND WAWAPONZA WAZUNGU WATUA NCHINI NA KAMERA TAYARI KWA KUINGIA LOCATION!

GAZETI LA MASKANI BONGO SASA LIKO MTAANI PATA KOPI YAKO MAPEMA!
















































Na mwandishi wa Xdeejayz Afrika Kusini
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na kushtua mtandao huu umenasa taarifa za kushtua juu ya mastaa mbalimbali kuwa mbioni kutengeneza picha ya X "Ngono" huku wazungu toka nchini Afrika Kunisini wakitarajia kufanya kazi hiyo.

Habari za uhakika ambazo hazina hata chembe ya uongo toka kwa chanzo chetu cha habari toka kampuni moja ya mtanzania anaeishi nchini Afrika Kunini aliyefahamika kwa jina la Fortunatus Kasomfi ambae nae ni msanii wa bongo muvi na ndiye staa wa filamu ya Our Teacher zilisema wazungu wamefurahishwa sana na tabia ya mastaa wa bongo kupenda kupiga picha za utupu hivyo wametenga mamilioni ya shilingi kuja kuwashawishi ili wacheze mikanda hiyo ya ngono.
Chanzo hicho kiliendelea kuileza Xdeejayz kuwa tayari makaburu hao wameanza kuingia kimya kimya" Unajua ukanda huu wa afrika mashariki na kati Tanzania inaongoza kwa mastaa wake kupenda kujipiga picha uchi hivyo wanaonekana wanapenda sana na wanavipaji hivyo wazungu wameona ni bora waje kufanya nao mazungumzo ili walipwe pesa nyingi harafu warekodi cd za ngono kabisa kuliko hizo picha wanazopiga zinakuwa hazina faidi yoyote kwao kwani watakaporekodi cd hizo watapata mamilioni ya shilingi" Alisema dada huyo ambae ni aliwahi kuwa Producer kwenye redio moja maarufu nchini kabla ya kutimkia huko

Msichana huyo aliongeza kusema kitu kikubwa pia kilichowavutia na kuamini kuwa wasichana wa Tanzania wanaweza ni tukio la msanii anaetamba na filamu yake ya utupu ya NGEMA Manaiki Sanga "the done jinsi alivyopiga picha na wanawake zaidi ya mia nne hivyo inaonekana wadada hawa wa kibongo wakiwezeshwa wanaweza.

Chanzo hicho ambacho kiligoma kutaja jina lake kilisema wazungu hao watakapoanza kufanya hiyo kazi watafanya usaili kwa kuwafanyia Interview wahusika huku washiriki hao wakiwa wameshakubaliana malipo ambapo kima cha chini kitaweza kuwa kati ya dola mia 700 kwa tendo moja ambalo huchukua kati ya dakika 45 hadi saa zima.

Aidha baada ya taarifa hizo Xdeejayz ilizungumzo na wadau mbalimbali Jijini na ambapo walionesha wasi wasi wao kuwa huenda wazungu hao wakawakama wasanii wengi sana kwenye mchakato huo kutokana na wasanii wengi kuwa na njaa kali ndio maana wamekuwa wakipiga picha zisizofuata maadili na kuzipachika kwenye mitandao ili kutafuta ridhiki kwa mapedeshee.
"GAZETI LA MASKANI BONGO SASA LIKO MTAANI PATA KOPI YAKO MAPEMA"

1 comment:

  1. kwa wale wanataka kufaidi kwa kuhusika na filamu hizi watume ujumbe mfupi kwa engelwitz@gmail.com

    ReplyDelete