Mimi nimeolewa miaka 8 iliyopita nna watoto watu na mume wangu nnampenda na yeye ananipenda niliolewa nikiwa na miaka 19 ni hadith ndefu naomba uchukuwe muda kuisoma, aliniona through family friend akanipenda na mimi sikuona vibaya kuolea naye japo amenizidi umri kidogo nilikubali na kusema ndoa siyo jela ntajaribu nikishindwa ntarudi kwetu. siku ya harusi ikafika ndoa ikapita usiku ule wa ndoa tukaenda hotel tulipofika akaniuliza kabla hajaniingili kama nilikuwa bikira au kazi nimeshaianza yeye kanipenda miye na siyo bikira yangu itakavyo kuwa nimeshakuwa mkewe, na mimi I was just 19 at the time na nilikuwa sijawahi kufanya hilo tendo ni msichana nnae penda dini yangu nikawa nasubiri the right man na the right man akaja, basi nikamuambia sijawahi, alinikumbatia for more than 10min akiniambia pole sanandon't worry every thing will be ok kutokea hapo to cut the story short ilimchukuwa two week kuniingilia hakutaka niumie ni mwanaume mwenye huruma sana na mahaba. lakini kinachoniumiza kitchwa ni hiki mapenzi anayonifanyia kitandani ni ya ajabu sana akitaka kuniinigilia atachukuwa zaidi ya saa moja kunichezaa wich I don't complain ila anavyonichezea ndio hatari akinianza kuninyonya
No comments:
Post a Comment