TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Tuesday, April 15, 2014

ODAMA ACHANWA LIVE BILA CHENGA ANGALIA HAPA WANAOMJUA WALIVYOMFUMUA VIPANDE VIPANDE!

Muigizaji mwenye mvuto wa kipekee na mwenye haiba ya upole bongo movie, Jennifer kyaka aka Odama mambo yake ni super ile mbaya, anaweza kuwa ndiye msanii pekee apa bongo movie anayeishi maisha expensive kuliko wasanii wenzie.licha ya kuendesha ndinga ya bei Kali , pia anamiliki mjengo wa maana na ni balaa tupu.sema yeye sio mpenda sifa kama wasanii wenzie.
Inasemekana yupo na mh. First class apa bongo ambaye ndiye aliyemfungulia kampuni ya filamu ya bei mbaya pamoja na kumnunulia vifaa vya kisasa kutoka majuu.
Achilia mbali kuwa na mh huyo ambaye ana mamlaka na pesa chafu kuliko Clement, hyo haijamfanya odama abweteke na kusubiria pesa za mh huyo , kwani demu anapiga kazi ile mbaya, hana mchezo na kazi yake hata kidogo, anajituma kama mtumwa licha ya kuwa na huyo mh ambaye ana pesa za kumtunza na kumlisha maisha yake yote.
Msanii huyo mrembo na mwenye mvuto na ambaye alibebwa na kubebeka inasemekana sasa ivi ana ujauzito mkubwa wa mh huyo.

No comments:

Post a Comment