TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Tuesday, April 15, 2014

NYIMBO ZA MANGWAIR ZAMLIZA P FUCK APONGEZA RADIO MPYA "93.7 FM DAR" ASEMA KUPITIA RADIO HIYO HESHIMA YA BONGO FLAVA ITARUDI KAMA ZAMANI ANGALIA HAPA ALICHOKISEMA!

P Fuck kushoto katikati ni Mh Sugu wakati wa mazishi ya marehe Magwair mwaka jana.

Na Livingstone Mkoi
Muasisi wa studio ya Bongo Records P Fuck wiki iliyopita alijikuta machozi yakimlengalenga ndani ya macho yake wakati akisikiliza radio mpya 93.7 Fm Dar kufuatia radio hiyo kupiga nyimbo nyingi za wasanii wa zamani ambao kipindi kirefu walikuwa wametelekezwa bila msaada wowote.
Tukio hilo lililotokea maeneo ya Bamaga Jijini Dar wakati Prodyuza huyo mwenye heshima kubwa nchini akisikiliza radio hiyo ambayo kwa sasa inapatikana hewani masaa sihirini na nne ambapo nyimbo nyingi zilizokuwa zinapigwa ni zile za wasanii walitelekezwa na vituo vya radio za burudani zilivyotangulia kwa sababu za bifu zao bifu.
Akizungumza kwa uchungu P alisema" Kaka haya maisha tutaondoka na kuyaacha hapa duniani Mangwair leo hii ameondoka lakini kwa sababu za ubinafsi wa wanyonyaji wa kazi za wasanii kwani kitendo kile cha kuwabania kufanya nao kazi hata kupiga nyimbo zao radio zimesababisha wengi kujiingiza kwenye mambo ya ajabu hivyo tunaamini ujio wa radio hii ya kisasa utarudisha heshima ya muziki wa bongo flava" Alisema Majani
Hata hivyo habari zilizoifikia blog kuhusu radio hiyo ambayo hadi sasa hajafamika mmiliki wake wala kampuni huku watu wengi wakihisi ni mwanmuziki mmoja maarufu wa kike ambae amekuwa kwenye bifu la muda mrefu na kituo kimoja cha radio ya burudani, zinasema kuwa maandalizi ya uzinduzi wa radio hiyo una karibia ambapo kutafanyika event babuu kubwa na wasanii toka nje ya nchi watakuja kuizindua jina lake.

No comments:

Post a Comment