TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Wednesday, April 2, 2014

JACKLINE WOLPER AWATOLEA UVIVU WANAFUNZI WANAOJIINGIZA KWENYE MAPENZI WAKIWA NA UMRI MDOGO ATOA TAHADHARI KUBWA ANGALIA HAPA ALICHOKISEMA..!


Na Zuwena Nyembo
Msanii nyota kwenye filamu za kibongo tu, Jackline Wolper ameibuka na kusema kuwa anachukizwa na wanafunzi wengi kujiingiza kwenye mapenzi wakiwa kwenye umri mdogo jambo ambalo nji hatari sana kwa future zao.
Akizungumza na Maskani Bongo msanii huyo alisema" Unajua sisi wakati tunasoma hatukuanza mapenzi mapema kama hawa watoto kiukweli mimi nimeanza kujua tendo nikiwa mtu mzima kabisa kwani nilikuwa naogopa sana lakini kwa sasa watoto hawa uwoga hata kidogo utakuta mwanamuziki ana miaka 12 ameshajua mapenzi hii ni hatari sana na akifisha miaka 18 si ndoa atakuwa balaa" Alisema Wolper kwa uchungu.
CREDIT: MASKANI BONGO, PATA KOPI YAKO LEO JUMATANO MTAANI

No comments:

Post a Comment