TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Wednesday, April 23, 2014

MZIMU WA MAREHEMU SHALO WAMMALIZA KITALE, KASHFA YA KULA PESA ZA KUMALIZA MSIBA WA RAFIKI YAKE ZATAJWA CHANZO CHA KUSHUKA..!

 MAMA SHALO AKILIA KWA UCHUNGU SIKU YA MSIBA WA MWANAE
 KITALE AMBAE SASA HIVI AMEPOTEA KWENYE GAME BAADA YA KIFO CHA SHALO.



Na Sakina Shabani
Msanii chipukizi wa maigizo ya kuchekesha na muziki Kitale hisa amepoteza umaarufu na kubaki kusafaria nyota yake ya zamani kwa kile kilichodaiwa msimu wa aliyekuwa rafiki yake wa karibu Shalo kumtafuna huku kashfa ya kula rambirambi za mchango wa kumalizia msiba wa shalo zikitajwa.
Kwa mujibu wa watu wa karibu wameelezea jinsi Kitale kwa sasa alivyopolomoka kistaa na kubaki kusafiria nyota ya zamani" Kitale amekwisha wewe si yule ambae alikuwa akisikika kipindi cha marehemu Shalo au sijui ndok mzimu wa rafiki yake unamtafuna kwa madai ya kula pesa na mchanga wa kumaliza msiba wake" Alisema mtu mmoja
Aidha katika taarifa nyingine iliyoelezwa kuwa chanzo cha kuporomoka kwa Kitale ambae kila siku amekuwa kitoa nyimbo lakini hazihiti ni sifa ya kujiona kafika na kumaliza hivyo akavimba kichwa na kuanza kudharau wengine.

No comments:

Post a Comment