TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Wednesday, April 16, 2014

MVUA ZA LEO MCHANA MAFURIKO TENA YATIKISA WAKAZI WA JIJI LA DAR WAJAWA NA HOFU KUU ANGALIA HAPA XDEEJAYZ INAKULETEA LIVE..!




 

Kariakoo Jijini Dar hali ya mvua ipo hivi... ni hatari tupu


Foleni nayo usiombeeeeeeeeeeee....




Barabara ya kuelekea Goba....


Barabara ya Goba ikiwa imeharibika kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha.


Maji yakitiririka kwa kasi katika Mto Mbezi eneo la Bondeni...


Vijana wakitumia fursa vizuri kwa kujipatia mchanga unaotiririshwa na maji ambapo huwauzia madereva wa maroli.


Eneo la Mwenge karibu na kituo cha daladala.....



Moja ya daladala lililokuwa gereji likiwa limezingirwa na maji eneo la Mwenge....


Maduka ya Mwenge yakiwa yamezingrwa na maji.....

CR


Maduka eneo la Mwenge yamejaa maji....


Kazi haifanyiki leo katika maduka haya...


Mwenge eneo la Nakiete......

CREDIT: XDEEJAYZ TANZANIA

No comments:

Post a Comment