TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Tuesday, April 22, 2014

MAJONZI MAKUBWA MANAIKI SANGA AFIWA NA DEMU WAKE NI YULE AMBAE ALIKUWA KWENYE IDADI YA WANAWAKE 400 ALIOTEMBEA NAO HAPA MJINI MSIBA WAGEUKA WA WENGI VILIO VYATAWALA !

 HAPA BAADHI YA WANAWAKE WA MANAIKI SANGA "THE DON" WAKIWA MSIBANI JIONI YA LEO HUKO MANZESE JIJI DAR
 HAPA THE DON AKIWA NA MCHUMBAAKE MPYA AMBAE INADAIWA AMESHATANGAZA KUMUOA
 MAREHEMU LIGHT AMBAE YUKO KWENYE IDADI YA WA NAWAKE 400 ALIOTEMBEA NAO MANAIKI SANGA.
MANAIKI SANGA NA MKEWE MTARAJIWA
 HUYU NAE YUMO KWENYE LISTI YA WANAWAKE ALIOKWISHAWAPITIA MANAIKI NA KUONGEZA IDADI YA WANAWAKE 400.
 MAREHEMU LIGHT ENZI ZA UHAI WAKE
ALIYEZUNGUSHIWA DUALA JEKUNDU NI MANAIKI SANGA NA MISHARE YAKE NI WANAWAKE ZAKE WALIOFIKA MSIBANI KWA AJILI YA KUOMBOLEZA MKE MWENZAO.
Na Mwandishi wa Xdeejayz Tanzania "XDTZ"
Hili ni balaa kubwa siku ya jana Jumatatu kama saa kumi za jioni mitandao mbalimbali ilipost habari za kushtua juu ya kifo cha msichana aliyefahamika kwa jina la Light ambae alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na msanii namba moja kwa ufuska Tanzania Manaiki Sanga aliyefariki ghafra huko nyumbani kwao Manzese.
Kwa mujibu wa habari toka mtandao wa mwanamuziki huyo na msanii zilisema kuwa msichana huyo aliyefahmika kwa jina hilo moja la Light alikuwa ghafra baada ya kujisikia vibaya kisha akadondoka na kufariki saa chache baada ya kufikishwa Hospitalini huko huko Manzese.
Hata hivyo msiba huo ni wa wengi kutokana na wasichana wale wote zaidi ya mia nne wanaodaiwa kutembea na Manaiki kukutana uso kwa uso msibani hali iliyofanya wengi kuchuniana na kutizamana kwa jicho baya.
CREDIT: XDEEJAYZ TANZANIA

No comments:

Post a Comment