Backstage.furaha iliporudi, baada ya kuonana nae na kupiga picha wote
Nikijaribu kumbembeleza
akimpa mkono,lakini hii haikuwa shida yake,alitaka wapige picha tena
Ilibidi Diamond ashuke kabisa kwenye gari ,akazungumza
nae nakupiga picha ndipo akatulia
Akielezea furaha yake na sababu ya kufanya vile na kuongeza kusema kama angezuiwa basli alikuwa radhi kujirusha kwenye tairi za gari ili akajangwe afe kabisa.
CREDIT: XDEEJAYZ TANZANIA
No comments:
Post a Comment