TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Wednesday, April 23, 2014

H. BABA APONGEZWA KWA KUMKUMBUKA MAREHEMU COOL JAMES MAARFU KAMA MTOTO WA DANDU ALIYEFARIKI KWA AJALI MAENEO YA MAKUMBUSHO JIJINI DAR 2002!



H.baba kutoka wikiendi iliyopita amefanya ziara ya kutembelea familia ya James Dandu ambayo iko Mwanza ambapo pia alifika mpaka lilipo kaburi lake Ngudu, Kwimba hapo H.baba alipalilia pamoja na kutoa heshima zake kwenye kaburi la Muasisi huyu wa tuzo za Tanzania.
H baba akifanya usafi kwenye kaburi la Dandu.
Mbali na kuwa muasisi tu Cool James ambaye alifariki Agost 2002 alikua ni miongoni mwa wasanii wa kwanza kuutangaza muziki wa Bongo Fleva nje ya nchi, Hizi ni picha baadhi ambazo zinamuonyesha H.baba akiwa na familia pamoja kaburi alilozikwa James Dandu.
H. Baba akiwa na wazazi wa marehemu Cool James

No comments:

Post a Comment