TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Friday, April 18, 2014

CLUB MAISHA KUWAKA MOTO MSIMU HUU WA PASAKA NI BALAA TUPU ANGALIA HAPA UONEA..!

  DVJ MAJEY KWENYE PIONNER
  HAPA ZUNGU MNYAMA AKIFANYA YAKE KWENYE DRUMMER NI BALAA TUPU HIVYO NDIVYO IJUMAA YA LEO ITAKAVYOKUWA CLUB MAISHA DAR.
 HAPA WADAU NA MASHABIKI WA XTREEM DEEJAYZ WAKIFURAHIA MIX ZA NGUVU TOKA KWA DVJ MAJEY NDANI YA CLUB MAISHA DAR
 DVJ MAJEY a.k.a Dad nae akiwa amepandwa na mzuka kufuatia mashabiki wake kudata na mawe aliyokuwa akiyapolomosha  hivi karibuni.
Na Livingstone Mkoi
Kuanzaia Ijumaa ya leo tarhe 18 kikosi cha Xtreme Deejayz Live Drummer chini ya Dvj Majey, Zungu Mnyama na HyperHk watafanya balaa ndani ya Club Maisha hadi Dar hadi msimu wote wa pasaka uishe.
Kwa mujibu wa mratibu wa burudani hiyo Hemed Kavu alisema" Ni wiki ya kuwapa raha mashabiki wetu wa Dar hivyo msimu wote huu wa sikukuu tutakuwa kiwanja cha home yani Club Maisha Dar hivyo watu wasiulize wape pa kwenda kupata burudani bali ni Club Maisha tu" Alisema mratibu huyo.
Wakati huo huo wakazi wengi wa jiji la Dar waliopata bahati ya kusikiliza radio mpya inayopatika kwenye masafa ya 93.7 Fm wameendelea kuumiza vichwa juu ya jina la radio hiyo ambayo imeibuka kwa staili ya kipekee ya kupiga muziki wa kufa mtu ila bila kutajwa jina lake licha ya kwamba sasa hivi wanaelewa 93.7 ni kitu gani hapa mjini.
Hata hivyo Xdeejayz ilijaribu kudodosa kwa mbali ili kujua jina la radio hiyo ambapo inadaiwa siku s nyingi utafanyika uzinduzi  mkubwa sana wa kutikisa nchi kwa ajili ya uzinduzi tu huku mastaa kibao wa muziki huko duniani wakialikwa kushirikia uzinduzi huo huku Jose Chamilione akitajawa .

No comments:

Post a Comment