TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Wednesday, April 9, 2014

BI HARUS NA BWANA HARUSI WAFUNGA NDOA WAKIWA UCHI, WAGENI WAALIKWA NAO WAINGIA UKUMBINI WAKIWA WATUPU, MCHUNGAJI AWAFUNGISHA HIVYO HIVYO KAMA WALIVYOZALIWA..!


Kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni,hapa bongoland na sehemu nyingi duniani kwa ujumla maharusi mara nyingi hujipangia mavazi yao kwa ajili ya siku ya harusi yao huku wakitumia gharama
nyingi kununulia nguo hizo kama mashela ya gharama na suti za maana na kali.Lakini huko New zealand hayo yote hayaitajiki kwan maharusi hufunga ndoa wakiwa watupu kabisa!!Hawa wanajiita Lowes’ Unclad wedding wakidai wanaonesha uhalisia katika nyanja hiyo.



Na wasimamizi wao nao mtindo ule ule!

  CREDIT: XDEEJAYZ TANZANIA

No comments:

Post a Comment