TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Friday, April 11, 2014

ALLY CHOKI AICHANA RADIO ATOA USHAURI MZITO KWENYE KITUO HICHO ANGALIA HAPA ALICHOKISEMA..!

Na Sakina Shabani
Mkurugenzi wa bend ya Xtra Bongo ya jijini Dar ameizungumzia radio mpya inatikisa Jiji la Dar pamoja na mikoa ya jirani kwa sasa licha ya kwanza haijaanza kurusha vipindi.
Akizungumza na ripota wa radio hiyo kwenye ukumbi wa Miti Mirefu Jijini Dar Choki alisema kuwa tangu radio hiyo iachiwe hewani tarehe 2 mwezi huu imekuwa ndiyo stesheni yake ndani ya gari kwenye simu au nyumbani kwani na hiyo ni kwa sababu moja tu ya kupiga muziki wa kila aina.
Choki alitoa ushauri mkubwa kwa radio hiyo kuwa kama itaenda na mwendo huo kuacha ubaguzi wa kwa kupiga baadhi ya muziki na kuacha muziki wa kila aiba basi hakika Tanzania itakuwa imepata mkombozi mkubwa.
Band hiyo kwa sasa inajiandaa na safari ndefu ya kuelekea mikoani kwenye shoo na itarejea baada ya Jumapili ya pasaka.
Radio mpya inapatika kwenye masafa ya 93.7 Fm na kwa sasa iko hewani kuungurumisha burudani za muziki wa kila aina.

No comments:

Post a Comment