TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Wednesday, March 19, 2014

PICHA YA OMMY DIMPOZ AKIPEWA KIBANO NA POLISI WA MAREKANI, MWENYEWE AIBUKA NA KUTOA UFAFANUZI SAHIHI..!


MKALI wa Bongo Fleva, Omari Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ ameibuka na kufungukia ishu iliyozagaa mitandaoni kuwa alikamatwa Marekani.

Picha iliyozua utata.
Akipiga stori mbili tatu na paparazi wetu, Dimpoz alisema picha zinazomwonesha akiwa chini ya ulinzi si tukio la kweli bali ni sehemu ya video ya wimbo wake mpya ambayo alikwenda kurekodia nchini humo.
...Dimpoz akiwa chini ya ulinzi katika video yake mpya.
“Sikuwa nimekamatwa kiukweli, ile ilikuwa ni sehemu tu ya video ya wimbo wangu ambao nilikuwa narekodi, mashabiki wangu wasinielewe vibaya. Nipo poa tu,” alisema Dimpoz.

No comments:

Post a Comment