TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Wednesday, March 19, 2014

MGANGA WA MASTAA BONGO MOVIE AELEZEA USALITI WA KAJALA KWA WEMA, ASEMA KUNA TAARIFA NZITO ZITATOKEA SIKU CHAHCHE ZIJAZO KUHUSU MASTAA HAO..!

 WEMA NA KAJALA WAKIONESHANA UPENDO WA DHATI KABLA YA KUSALITIANA
MGANGA MAARUFU KWA JINA LA DR KAMDEGE AKIWA KAZINI MITAMBO YAKE YA KAZI.
Na Mwandishi Wetu
Mganga ambae siku za hivi karibuni ameendelea kujizolea umaarufu mkubwa kutokana na uwezo wake mkubwa wa kuwatibu watu kutumia miti shamba huku mastaa kibao na viongozi wa Serikali pamoja watu toka nje ya nchi kufurika nyumbani kwake kwa ajili ya kupata dawa ameibuka na kuelezea usaliti uliotokea kwa mastaa kati ya Wema na Kajala kwa Diamond.
Akiongea na gazeti hili kupitia simu namba 0788-844490 toka Mkoani Tabora alisema kuwa ilikuwa lazima Wema aslitiwe na rafiki yake wa karibu ili kujifunza kwani tayari alishatoaga ushauri kwake juu ya kutoruhusu mashoga zake kuwa karibu na mpenzi wake.
Hata hivyo mganga huyo aliongeza kusema hata hivyo kwa jinsi hali ilivyo kuna tukio la kushtua watanzania litamtokea  Wema kwa Diamond kuhusu mahusiano hivyo ni vyema akazingatia ushauri wake ili kuepuka na hayo mambo.
Dk Kamdege amekuwa lulu sana nchini na nje ya nchi huku wazungu wengi wakichanganyikiwa kwa tiba zake pamoja na kuwapatia watu baraka za mafanikio licha ya kitibu magonjwa mengi kama kupooza miguu, mikono ganzi, kupata watoto, kuwa na mfanikio katika maisha pamoja na kuwaona wachawi live na kumtambua mbaya wako.
Mganga huyo ameendelea kutoa rai kwa watanzania popote walipo duniani kuendelea kupata huduma yake hata kama wakiwa Marekani, Ulaya, Canada, Ujerumani, Dubai, China, Ufaransa na kwingineko watapatiwa huduma hiyo huko huko waliko.

No comments:

Post a Comment