TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Monday, March 17, 2014

ALBAMU YA MUNGU HABADILIKI YATIKISA NCHI, MCH: KATUNZI NA NABII FLORA WACHANGANYIKIWA NA KIPAJI CHA MESSI J. CHEKULA...!




 Messi J Chekula akiwa kazini kwenye moja ya Kanisa la huduma ya maombezi Uwanja wa Fisi Manzese Jijini Dar Jana.Hii imekuwa moja ya mialiko anayoipata kwa ajili ya kutoa huduma ya uimbaji


 Nabii Flora akiwa amechanganyikiwa na nyimbo za Messi Chengula kiasi cha kushindwa kuvumilia kwenye kiti na alinyanyuka na kwenda kumtunza ishara ya kukubari kazi nzuri inayofanywa na kijana huyo mdogo.
Albamu ya mwanamuziki Jessi Chengula ijulikanayo kwa jina la Mungu Habadili imeendelea kuwa gumzo kufuatia maelfu ya wananchi kuogombea kama njugu.
Xdeejayz ambayo ilikuwepo kwenye kanisa la Mchungaji Katunzi lililopo Sabasaba Jijini Dar na kushuhudia waumini wakiigombea kama njugu kutokana na ujumbe mzuri uliomo kwenye nyimbo zake.
Aidha Messi mwenyewe alisema kuwa albamu yake anaisambaza mwenyewe na ambaye yuko tayari kuihitaji ampigie simu namba 0715-880584 na watafikishiwa popote walipo.

No comments:

Post a Comment