TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Thursday, February 6, 2014

MTOTO WA KING KIKI ACHAFUA HALI YA HEWA NI YULE ALIYEPIGA PICHA ZA IBU CHUMBANI SASA AFAYATUA NYINGINE SAFARI HII YUKO KIJIJINI TENA MBELE YA WATOTO WADOGO WANAKIJIJI WAJA JUU...!!




Na Mwandishi wa Xdeejayz Mwanza
Yule bint wa mwanamuziki maarufu nchini Jeska Kikumbi King Kikii ameendelea kujidhalilisha pamoja na kuidhalilisha familia yake baada ya kurusha hewani tena picha zingine mpya zikimuonesha akiwa mtupu tena mtoni huko Kijijini Mwanza.
Xdeejayz kama kawaida yake imefanikiwa kunasa picha hizo toka kwenye account ya Facebook ya Jeska ambapo alikuwa ameziachia yeye mwenyewe na kuchukulia kawaida sana.
Hata hivyo kwa mujibu wa chanzo chetu picha hizo ambazo kama zinavyooneka wamepiga kwa hiyari yao wenyewe wala si kulazimishwa au kupigwa bila kujitambua la hasha na walidhamilia kufanya hivyo kwa ajili ya mauzo.
Jeska ambae kwenye Account yake ya Facebook anatumia jina la King Kikii Dota alizimwaga picha hizo ili zisambae makusudi" Hata hivyo hali halisi wananchi wanaonekana kushangazwa na tukio hilo huku watoto wadogo nao wakishuhudia video hiyo ya bure
Lakini hata wanachi mbalimbali naa mashabiki wa muziki wa dance nchini wamemuhurumia sana mwanamuziki King Kikii na kusema kuwa mwanae huyo an ampango wa kumuua babaake kwa presure kutokana na upuuzi anaoufanya.
Mtandao huu ulifanya jitahada za kumtafuta msichana huyo kupitia simu yake ya kiganjani lakini hakuweza kupatikana hadi habari hii inaruka hewani.
Xdeejayz kushirikiana na watanzania wanaoitakia mema nchi tuna lani vikali vitendo vya kuidhalilishaji vinavyofanywa na wasichana hao tena kwa makusudi na tunasisitiza sisi kama chombo cha habari kuwa hali hiyo haikubariki na inapaswa kupingwa kwa nguvu zote.

TAARIFA: Blog hii haihusiki na kupiga picha za wahusika wote wanaoripotiwa humu na mara nyingi picha hizi husambazwa na wahusika wenyewe hivyo tunaomba jamii na wasomaji wetu watuelewe hivyo kuwa Xdeejayz haiko kwa ajili ya kudhalilisha binadamu la hasha  bali tunathubutu kutoa habari hizi na picha za ushahidi ili kuonesha tunapinga vitendo hivyo na wanaoruhusiwa kutizama blog hii ni wale waliozidi miaka kumi na nane tu. 

"KWA HABARI ZAIDI USIKOSE GAZETI LAKO PENDWA NAMBA MOJA TANZANIA MASKANI BONGO JUMATANO IJAYO LITAKUWA  NA HABARI ZAIDI JUU YA TUKIO HILI LA KUSIKITISHA"

No comments:

Post a Comment