Na Mwandishi wa Xdeejayz Ntwara
Baadhi ya wananchi Mkoani Ntwara wametoa kali ya mwaka baada ya kutaka Serikali ihalalishe ulaji wa kitoweo aina ya Panya na kuuzwa kwenye mabucha kama ilivyo kwa nyama nyingine kama Kuku, Bata, Ngo'ombe, Nguruwe na Mee.
Wakiongea na Xdeejayz kwa njia ya simu wananchi hao wanaopatikana Wilaya za Masasi na Nanyumbu na Wilaya hizo hukaliwa na makabila ya Wamakuha, na baadhi yao ambao hadi sasa bado watumiaji wazuri wa kitoweo hicho cha Panya.
Aidha kabila jingine linalopenda kula kitoweo hichi ni Wamwela wanaoptanika Wilaya ya Nachingwea ambayo ipo Mkoani Lindi na walisema" Inapendeza kama Serikali itatoa ruhusu kufunguliwa kwa bucha za nyama ya panya kama ilivyo nchini China ambako kuna wanaokula nyoka na wengine hawali ndo iwe hivyo" Alisema kijana mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Juma
"GAZETI LA MASKANI BONGO LINAENDELEA KUWA TISHIO KAMA HUJABATIKA KUPATA NAKALA YAKO BASI UNACHELEWA TU WAHI MAPEMA KILA JUMATANO"
No comments:
Post a Comment