TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Wednesday, February 26, 2014

MMH SIRI ZAANZA KUVUJA, WOLPER AKILI MANAIKI SANGA ALIMPA MAMILIONI YA SHILINGI ILI APIGE NAE PICHA ZA....XDEEJAYZ INAKUPA


Na Sakina Shabani
Msanii nyota kwenye tasnia ya filamu za kibongo Jacqkline Wolper na Manaiki Sanga, anayejulikana kama The Don, wako katika bifu kubwa kisa kikiwa ni picha walizopiga pamoja.
Tukio hilo limechukua sura mpya kwenye mitandao ya kijamii baada ya wiki mbili zilizopita gazeti hili kuanika picha za mastaa kadhaa waliowahi kupiga picha zilizozua minong’ono mitaani, kutokana na tabia ya Manaiki kuaminika kuwa ni wanawake aliotembea nao.
Maskani Bongo liliandika juu ya Wema Sepetu kunasa kwenye mtandao wa ngono, huku likionesha picha yake kubwa akiwa na Manaiki Sanga wakiwa wamekumbatiana huku picha ndogo ndogo za wasanii wengine maarufu akiwemo Jackline Wolper nao zikiwaonyesha wakiwa na mcheza filamu huyo.
Baada ya habari hiyo kutoka, baadhi ya watumiaji wa mitandao hiyo walichukua kurasa za gazeti hilo na kuiweka mtandaoni na watu walipoanza kutoa maoni yao, Jack alimzungumzia Manaiki na kukanusha kuwahi kushiriki naye mapenzi.
Mjadala mkali ulizuka huku mashabiki wa wasanii hao wakisemana vikali ambapo Wolper aliomba kuelezea jinsi ilivyokuwa hadi akakutana na Manaiki, akasema “Duh yaani mimi nimekuwa mpenzi wa Manaiki tena? Huyu mshikaji alishaahidi kuwa kwa gharama yoyote atakuwa staa, hivyo akatoa mkwanja wake watu tukaula basi,” alisema Wolper.
"HABARI ZAIDI KAMATA GAZETI LAKO PENDWA NAMBA MOKO TANZANIA MASKANI BONGO LEO MTAANI"

No comments:

Post a Comment