“Nimeumia sana kwa kauli
alizonitolea baba, sikutegemea kama hali hii ingefikia huko. Kinachoniuma zaidi,
si kurithi mali zake bali kitendo cha kukosa radhi yake.
“Hivi ninavyoongea na
wewe mwandishi, baba hataki kuniona machoni au kunisikia, naomba nitumie nafasi
hii kuomba radhi kwenye familia yangu pamoja na upande wa mume wangu kwani
nakiri sikutenda haki,” alisema Naima ambaye anaonekana kwenye video ya
Wimbo wa Mbagala wa msanii Diamond.
|
No comments:
Post a Comment