Na Mwandishi wa Xdeejayz Dar
Kufuatia kuvuja kwa picha za ibu za aliyekuwa shoga yake Wema Sepetu kabla ya kutemana na Naima kuchukuliwa na aliyekuwa mpenzi wa Wema ambae ni kizito wa Ikilu ya Tanzania anaetajwa kwa jina la Clement habari zimevuja kuwa huenda ni mashabiki wa Wema walifanya hivyo kumkomoa tu Naima.
Kwa mujibu wa chanzo Xdeejayz ambacho ni mmoja wa kundi la mashabiki wa Wema kilisema kuwa " Kwa nini hizo picha zilikuwa hazijavuja toka siku nyingi hiyo ni mikakati ya mashabiki wa Wema ambao daima hawapendi kuona Wema akinyanyasika na ndio maana zimevuja baada ya kumchukua Kigogo" Alisema mdada mmoj aliyejitambulisha kwa jina la Amina mkazi wa Dodoma Majengo
Picha za naima zimevuja hivi karibuni zikimuonesha maziwa wazi pamoja na kumuonesha nyeti zake za nyuma na mbele jambalo limeichafua familia yake sana huku wakimlani mtu aliyefanya hivyo.
"HISTORIA YA BURUDANI KUJIRUDIA TENA MKOANI DODOMA WIKI HII, IJUMAA NI CLUB MAISHA DAR TAREHE 14 SIKU YA VALENTINE DAY NA JUMAMOSI NI CLUB MAISHA DODOMA HII SIYO YA KUKOSA"
No comments:
Post a Comment