TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Monday, February 17, 2014

AAKU..! SIWEZI KULIWA ULODA NA DIAMOND KWANI WEMA NI KAMA NDUGU YANGU, ASEMA HATA KAMA AKILALA NAE KITANDA KIMOJA HADI ASUBUHI YANI HAWEZI KUFANYA NAE CHOCHOTE..! AMISA



AMISA1
MREMBO anayedaiwa kuliingilia penzi la staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, aliyewahi kushiriki Shindano la Miss Tanzania, Amisa Mabeto amefunguka kuwa  mwanamuziki huyo ni shemeji yake tu, hakuna chochote kati yao.
Akipiga stori na safu hii kuhusiana na madai hayo, Amisa alisema alistaajabu kwani hana mazoea na Diamond Kama ni kuonana waliwahi kuonana miaka ya nyuma, tena siyo kimapenzi.


Kamwe siwezi kutembea na Diamond na haitatokea kwani jamii nzima inajua yupo na Wema na mimi huyo mtu ni rafiki yangu mkubwa, hana chake hapa, siwezi kutembea naye kamwe, namheshimu kama shemeji yangu,” alisema Amisa.
Aidha Amisa aliongeza kusema kwa jinsi anavyoheshimu shemeji zake hata ikitokea wakila lala kitanda kimoja na Diamond wawili tu hawezi kufanya kitu chochote nae hata kama akisumbuliwa vipi yani hawezi kabisa.


Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’.
Amisa aliwahi kuripotiwa kuwa na uhusiano na Diamond akiwa ni shosti mkubwa wa Wema.
"GAZETI LA MASKANI BONGO LIKO MTAANI JUMATANO HII USIKOSE NAKALA YAKO KWA TSH 500 TU"

No comments:

Post a Comment