TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Tuesday, January 28, 2014

Rose Ndauka Amwanika Mtoto wake Hadharani…!!

 


     
ndauka2
Rose  Ndauka ambaye ni mama anayetamba ndani  ya filamu za kibongo hivi karibuni alijifungua mtoto wa kike na kumpa jina la Naveen.
 
Upekuzi  wa  mtandao  huu  umefanikiwa   kuinasa  picha  ya  Naveen  ikiwa  mtandaoni   kama  inavyoonekana  hapo  chini….


Siku  chache  baada  ya  kujifungua, Rose  Ndauka  aliwaonya   wasanii wa kike kuachana na biashara ya utoaji mimba kwani ni kinyume cha maadili ya  mtanzania .
Ndauka alisema kuwa baadhi ya wasanii wa filamu nyota hawataki kuzaa, hata wale waliozaa kabla ya kuwa nyota hawapendi kujulikana kama  wamezaa, kitu ambacho hakinamaana  yoyote  katika maisha ya msanii

No comments:

Post a Comment