TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Tuesday, January 28, 2014

HIVI NDIVYO MSANII WA KOMEDI ALIVYONUSURIKA KUFANYIWA KITU MBAYA NA MABAUNSA, BAADA YA KUFUMANIWA NA MKE WA MTU..!


Na Mwandishi wa Xdeejayz
Msanii aliyejichukulia umaarufu mkubwa kutokana na stairi yake ya uigizaji imesemekana ilikuwa alawitiwe endapo angenasa mtego huo wa fumanizi lakini kwa bahati mbaya fumanizi hilo lilidunda.
Habari za uhakika zilizofanywa na Xdeejayz baada ya wiki iliyopita kuzuka habari za kufuamaniwa kwa msanii huyo aliyefahamika kwa jina la Kinyambe.
Paparazi wetu ambae alifika eneo la Kawe ambako ndiko inakodaiwa msanii huyo alifumaniwa wakiongea kwa sharti  ya kutotajwa majina yao walisema" Huyu jamaa Mungu alikuwa upande wake kwani huyo jamaa mwenye mke alikuwa ameshaandaa mabaunsa kwa ajili ya kumlawiti msanii huyo lakini kwa bahati mbaya fumanizi hilo lilidunda" Alisema mama mmoja ambae aliongeza kusema mabaunsa hao walikuwa wanne.
Xdeejayz ilimtafuta Kinyambe kupitia simu yake ya mkononi aliendelea kusisitiza kuwa hakufumaniwa na wala hajawahi kufumaniwa huo  ni mpango wa kumchafua.
"GAZETI LA MASKANI BONGO LIKO MTAANI KESHO USIKOSE KUPATA NAKALA YAKO"

No comments:

Post a Comment