TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Saturday, November 30, 2013

MISUKULE YA MCHUNGAJI GWAJIMA YAZUSHA BALAA MKOANI TANGA WANANCHI WAKIMBIA OVYO MJI MZIMA, SASA HIVI TANGA HAKUKALIKI, XDEEJAYZ INAKUPA LIVE TUKIO HILO!!!



 Huu ni uwanja ambao upo katika ya mji wa Tanga ambao Mchungaji Gwajima akifanyia mikutano yake, huku watu zaidi ya elfu arobani wakihudhuria...!!!!
 Hawa ni Misikule ambao mchungaji huyo aliwakomboa toka mikononi mwa wachawi!
Na Mwandishi wa Xdeejayz Tanga
Mchungaji maarufu wa kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima ( Mzee wa Misukule) wiki hii ameufanya Mkoa wa Tanga mjini kuwa mchungu kufuatia mkutano wake kukumbwa na mauza uza huku misukule ikiwa ndo stori kubwa.
Mwandishi wa XDEEJAYZ yuko Mkoani humo kikazi ameshuhudia maelefu ya watu wakiokoka na kutokwa na majini huku wachawi wakijisalimisha kwa mchungaji  huyo ambae anamkutano wa siku saba na watu kukimbia ovyo kwa hofu ya Mungu.
Habari zaidi zilieleza kuwa Gwajima na timu yake wamekuwa gumnzo mkoani huku ikielezwa ku haijawahi toke mkutano mkubwa kufanyika na kujaza maelfu ya watu kama

Hata hivyo kasoro kubwa imekuja na kuzusha maswali mengi kwa wakazi hao kuhusu ishu ya misukule ambapo mchungaji huyo ametoa misukule kibao lakini cha kushangaza hakuna hata msukule mmoja mkazi wa eneo hilo wasukule wote hawajulikani jambo ambalo watu wanahisi ni mchongo tu. 
" GAZETI LA MASKANI BONGO SASA LITAKUWA MTAANI KUANZIA DESEMBA 11 2013, NA LITATOKA KILA SIKU YA JUMATANO KARIBUNI"

No comments:

Post a Comment