TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Wednesday, November 20, 2013

MASKANI MZEE KING KIKI MWANAE WA KIKE AMVUA NGUO NA KUMUAIBISHA VIIBAYA HUYO MWANAE NI MISS UTALII TANZANIA!

Na Sakina Shabani
Mwanamuziki wa siku nyingi nchini na anaeheshimika sana na watanzania wote kutokana na kazi zake nzuri King Kiki ameingizwa kwenye matatizo makubwa na bint yake kipenzi baada ya kujipiga picha uchi kisha kuzirusha kwenye mitandao ya kijamii.
Picha hizo ambazo zimesambaa mitandao pamoja na kuripotiwa kwenye vyombo vya habari hasa magazeti pendwa zimekuwa gumnzo kubwa kutokana na binti huyo kuonesha sehemu za nyeti zake.
XDEEJYAZ inamtambua Msichana huyo wa mwanamuziki huyo pia  ambae aliwahi kushiriki shindano la Miss Utalii miaka ya nyuma lakini kwa sasa ni mfanyakazi kwenye kampuni moja ya mtandao wa simu jina linahidhiwa na huenda skendo hii ikamuharibia hata kibarua chake.
Hata hivyo habari zaidi zaidi zilizoifikia xdeejayz ilisema kuwa Mzee Kingi Kiki tangu kutokea kwa tukio hilo amekuwa akishinda nyumbani kwa aibu kutokana na umaarufu wa mwanae huyo anaempenda sana kiasi cha kila mahara aendapo anaambatana nae lakini sasa hiv anashindwa kwenda popote kisa tukio hilo na muda mwingi amchozi yamekuwa yakimtoka tu.
SIKU ZINAHESABIKA ZA GAZETI PENDWA LA MASKANI BONGO KUTUA MTAANI...KAZI KWAKO MTANZANI..!!!

No comments:

Post a Comment