Na Sakina Shabani
Matukio ya wapenzi kupigana risasi kwa wivu wa kimapenzi pamoja kudanganyana yameendelea kushika kasi kila kukicha huku sababu kubwa ikiwa ni wasichana hao kupenda kuwa matapeli kwa kuwasaliti watu waliwasaidia.
Xdeejayz imebaini hali hiyo huku takwimu zilionesha kuwa wasichana wamekuwa chanzo kikubwa cha mauaji hayo kwa kuwasailiti watu waliwasiaidia toka chini kwa kupoteza fedha nyingi kisha baadae hutaka kuwakimbia hali ambayo hupelekea wanaume kuchukuwa maamuzi magumu kama haya ya kujipiga risasi.
SIKU ZINAHESABIKA ZA GAZETI PENDWA LA MASKANI BONGO KUTUA MTAANI...KAZI KWAKO MTANZANI..!!!
No comments:
Post a Comment