TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Wednesday, November 20, 2013

KAMPUNI YA WEMA SEPETU YAKUMBWA NA KASHFA KUBWA, MWENYEWE AMWAGA MACHOZI AMLAUMU MSANII MANAKI SANGA ACHUKUA MAAMUZI MAGUMU. XDEEJAYZ INAKUPA YA MOTO HIYO!

 Msanii Wema Sepetu akiwa ndani ya Ofisi yake maeneo ya Mwananyama Jijini Dar.

Wema akiwa na aliyekuwa Directa wake aliyefahamika kwa jina la Chid kabla ya kumtimua kwa kashafa hiyo iliyoichafua kampuni yake.
Na Sakina Shabani
XDEEJAYZ imenasa taarifa za sababu kubwa zilizopelekea Wema Sepetu kumtimulia mbali aliyekuwa directa wake aliyefahamika kwa jina moja la Chid kuwa ni ufuska uliokubuhi kwa directa wake huyo huku akitumia magari yake kama guest ya kumalizia haja zake.Xdeejayz inakupa mchongo mzima
Habari za uhakika zilizotua mezani kwa Xdeejayz zilisema kuwa Wema aliamua kuchukua maamuzi hayo magumu ili kunusuru kashfa kubwa ambayo ingeza kuikumba kampuni yake" Kwa kweli Wema Sepetu alikuwa anampenda sana Chid kutokana na ubunifu wake kazini na alimpa uhuru wa kufanya kila kitu ikiwemo kumuachia magari ambayo yeye alikuwa kama kiongozi hivyo alikuwa na uhuru nayo sana na alikwenda kila mahara " Kilisema chanzo hicho ambacho ni ndugu na Wema
Aidha habari zaidi ziliendelea kusema baada ya kupata taarifa hzio aliamua mkutimua Chid kwenye kampuni yake ili kurinda heshima ya kampuni hiyo ambapo Chid na vijana walikuwa wakitumia gari hiyo kung'olea watoto wakali" Unajuwa Wema ana mashabidi sana hata ile gari wakati mwingine alikuwa inavunja hata sheria za barabarani bila kufanywa chochote hii ilitokana na upendo wa mashabiki kwa Wema na wasichana wengi walikuwa wakiiona ile gari basi wnaingia wenyewe kwenye gari wakidhani ndani yuko Wema hivyo ilikuwa ni nafasi nzuri kwa Chid na wenzake kuwamaliza wasichana hao" Alisema dada huyo
Aidha baada ya taarifa hizo XDEEJAYZ ilivuta waya kwa kumcheki hewani Chid na Wema ili kuthibitisha madai hayo ama kuna jingine lililopelekea kutimuana kwa bahati mbaya watu hao hawakupatikana kuzungumzia hilo hadi habari hii inaruka hewani! 
SIKU ZINAHESABIKA ZA GAZETI PENDWA LA MASKANI BONGO KUTUA MTAANI...KAZI KWAKO MTANZANI..!!!

No comments:

Post a Comment