TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Thursday, November 28, 2013

JAMANI UFIRAUNI HUU HADI LINI? BEIBY MADAHA AMLA DENDA MKE WA MTU MBELE YA MUMEWE!

Maskini Mke wa mtu alilazimishwa kuliwa mate mbele ya mumewe!
Mariam Mndeme na Beiby Mdaha

Na Sakina Shabani
Mwanamuziki na msanii wa bongo movie Beiby Madaha hivi karibuni alinaswa na XDEEJAYZ  akilazimisha kumla denda mke wa mtu huku mumewe aishuhudia.
Tukio hilo lilitokea hivi karibuni kwenye Bar ya Uhuru Peack iliyopo maeneo ya Vijana ambapo Beiby Mada ambae alikuwa tungi kipita kiasi alianza kumlazimisha dada huyo kumla mate baada ya kumsifia kwa kazi nzuri anazozifanya msanii huyo.
Hata kuna taarifa ambazo XDEEJAYZ bado inachokonoa ili ipate ukweli halisi kisha kama desturi itaanika uchafu huo ili watu waone ufirauni unaofanywa na wasanii wetu ambao sasa hivi wametoa kabisa msemo wa kuwa kioo cha jamii ambayo inasema kuwa msanii na mtunzi wa filamu ya TATAKOA Mariam Mndeme hivi karibuni alipigwa picha akisagana na mke wa mtu ambae ni bosi wa bank moja maarufu Jijini.
Aidha Mariamu Mndeme ambe pia alikuwa mwandishi wa habari wa magazeti pendwa kabla ya kuachana na mambo ya habari na kuingia kwenye filamu.
"GAZETI LA MASIKANI BONGO NI DESEMBA HII KAA MKAO WA KULA"

No comments:

Post a Comment