TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Tuesday, November 26, 2013

BONGO MOVIE WASUSIA TENA KISOMO CHA MAREHEMU SHARO MILIONE, WASANII WA KOMEDI WAPONGEZWA KUONGOZA KWA KUSHIRIKIANA, LEOA MAREHEMU KATIMIZA MWAKA MMOJ!


 
 
JB kiongozi wa kundi la Bongo Movie.
SHARO MILIONEA
Na Sakina Shabani aliyepo Tanga
Tarehe ya leo familia ya marehemu Sharo milione na watanzania wanamumbuka mwanamuziki huyo tangu alipotutoa mwaka jana tarehe kama hii.
 
Habari toka Mkoani Tanga zinasema kuwa wasanii mbalimbali wa kundi la Komedi wako mkoani humo kwa ajili kushiriki kisomo huku kukiwa na dosari kwa wasanii wa bondo movie ambao hakuna hata mmoja aliyetia maguu yake huko.
Mwandishi ambae yuko Mkoani humo kushiriki kikamilifu kwenye kumbukumbu hiyo alisema kuwa shughuri hiyo inaendelea vyema huku Kitale ndiye anaeongoza kisomo hiyo pamoja kusimamia shughuri nzima.
Hata hivyo mashabiki wengi wa filamu wamesikitishwa kwa ubaguzi unaoendelea kwa wasanii wa Bongo Muvi ambao hawataki kushirikiana na wenzao kwa madai kuwa wao ni bora kuliko wenzao.
"GAZETI LA MASKANI BONGO LITAKUWA MTAANI MAPEMA MWEZI UJAO USIKOSE KUKAMTA KOP YAKO 500/= TU!"
 
 
 

No comments:

Post a Comment