TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Thursday, October 31, 2013

AJIKATA UUME WAKE NA PANGA BAADA YA KUGUNDULIKA HANA UKIWMI, ASEMA ALIKUWA NA REKODI MBAYA KUDHINI, ASEMA WANAWAKE ALIOTEMBEA NAO WANAJAA DCM 4 NA WENGINE WANANING'NIA, HIVYO HAKUDHANI KAMA ANGEUKUTWA MZIMA!



 HAYA NDIYO MAAJABU YA XTREME DEEJAYZ NDANI CLUB MAISHA DODOMA JUMAMOSI HII USINGOJE KUSIMULIA FIKA UONE LIVE DJ DRUMMER KWA MARA YA KWANZA MKOANI HUMO!!!

Baada ya kujikata kiungo hicho muhimu katika mwili wa mwanaume, mchina huyo Yang Hu mwenye miaka 26 aligundua kwamba haikuwa ndoto ni kweli ameukataa uume wake, ndipo alipochukua baiskeli yake na kukimbia hospitali kwa matarajio ya kwenda kuunganishiwa kiungo chake alichokikata mwenyewe. 
 
Sipati picha aliwezaje kunyonga ‘pedal’ za baiskeli yake mpaka hospitali ilihali maumivu makali aliyokuwa nayo, lakini mbaya zaidi kutokana na kuchanganyikiwa kwa alichokifanya, baada ya kufika hospitali ndipo ndoto zake zikazidi kufifia baada ya madakrati kumueleza kuwa amesahau kuja na kiungo hicho ili kirudishiwe sehemu yake.
 
Aidha habari nyingine zilisema kuwa Yang Hu amekuwa na rekodi mbaya sana ya ufirauni ambapo ilidaiwa kuwa ameshatembea na idadi kubwa ya wanawake ambapo kama wakiongozana wanafika mita elfu moja au wanajaa mabasi aina ya DCM manne na wengine wataning'inia hivyo baada ya kutoka kupima HIV na kukutwa mzima akaamua kukata na kisu uume wake ili isifanye kazi tena.


JUMAMOSI YA FURAHA NDANI YA CLUB MAISHA DODOMA WIKI HII!

No comments:

Post a Comment