TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Tuesday, August 20, 2013

KITALE AWASHTUA WATANZANIA.MASHABIKI WAKE WACHANGANYIKIWA!




Na Livingstone Mkoi
Mwanamuziki na msanii nyota toka kiwanda cha Komedi Bongo Tz Kitale siku ya kesho anatarajia kuishtua Tanzania kwa kuachia song lake jpya lijulikanalo kama Gharama huku akiwa amemshirikisha kakaake aliyefahamika kwa jina la  Mide Zo.
Akiongea kwa njia ya simu Kitale ambae yuko kambini Wilayani Bagamoyo anakojiandaa kwa ajili ya kuufanyia video wimbo alioutengeneza kwenye studio ya JB huko huko mkoani Tanga " Kaka kiukweli naweza kusema kuwa kesho mashabiki wangu na hata wasio mashabiki wangu pia watarajie kupata mshtuko wa aina yake mara watakapousikia wimbo wangu mpya ambao haujawahi kusikika popote pale" Alisema Kitale
Aidha Kitale aliongeza kusema kuwa wimbo huo umegawanyika tofauti upo kikomedi kidogo na kawaida lakini" Waliobahatika kuusikia wimbo huo kwa kweli wametoa baraka zao na nitaanza kuachia kwenye redio na baada ya wiki mbili wataiona video yake ambayo ni balaa" Alimaliza kusema


No comments:

Post a Comment