Wema Sepetu akiwa na aliyekuwa mchumbaake
Wema Sepetu akiwa Diamond
Picha ya utupu ya Wema Sepetu ambayo aliitupia mtandaoni hivi karibuni na kuzusha maswali kibao.
Wema Sepetu akiwa Chalz Baba
Picha hii ambayo ilisadikika ni msanii Lulu Michael ambayo ilizua gumzo kubwa kwenye mitandao yote ya kijamii miaka kadhaa iliyopita.
Mwanadada anaeshikilia kwa tuhuma za madawa ya kulevya nchini Afrika Kusini Agnes Masogange akiwa mwenye picha pozi moja ya picha zinazopatikana kwenye mitandao yote.
Msanii Manaiki ambae siku za hivi karibuni amekuwa maarufu ghafla baada ya kudaiwa kutupia picha zake kwenye mtandao ukimuonesha akiwa na mabint mbalimbali. Licha kwamba mwenyewe amesema akuwa alipoteza kamera yake hivyo kusababisha picha zake za siri kuvuja
Diana Kimario "Mikogo" akiwa kwenye mahaba mazito na Manaiki
Picha hii ni ya wanafunzi wa Chuo cha UDOM ambapo walipiga picha wakifanya ngono kisha picha zao kuzisambaza makusudi kwenye mitandao ili watu wawaone.
Masogange akiwa na bwanaake picha hiyo ilisambazwa kwenye mtandao na wahusika kwa lengo la kujipa promo
Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda ya Dar es salaam Bw. Ally M.O.Mlege kushoto ambae amesema Jeshi la Polisi limejipanga vya kutosha kuhusu sakata la madawa kupita njia za barabara hasa kwa mabasi toka nchi jirani!
Irine Uwoya ambae amelaumiwa vikali na wadau kwa upigaji picha za aibu kama hizi ndio imekuwa sababu ya wasanii wachanga kuiga tabia kama hii wakiamini inaweza kuwapa umaarufu kama yeye. Jambo ambalo sio kweli...
Jack wa Chulz akiwa kwenye picha ya kivazi cha nusu uchi
Mmh
Picha hii iliwahi kutikisa miaka ya nyuma ambayo ni aliyekuwa mwanafunzi wa cho kimoja mkoani.
Irine Kanka ambe ni msanii nyota wa filamu na alikuwa msindi namba 3 Miss Temeke 2011.
Na Mwandishi Wetu.
Jeshi la Polisi Kanda ya Kinondoni
limetoa kauri nzito kuhusu picha za udhalilishaji zilinazosambazwa na wasanii
wetu wa bongo movie zikiwemo za Manaiki Sanga.
Akiongea na Xdeejayz mkuu wa
kituo cha Polisi Oysterbay “OCD” Mtafungwa alisema kuwa kimsingi kupiga picha
za utupu ni kosa kisheria hivyo endapo muhusika akimatwa atashtakiwa kwa mujibu
wa sheria.
Mtafungwa aliendelea
kufafanua kuwa” Unajuwa Jeshi la Polisi lipo kwa ajili ya kusimamia sheria
iliyowekwa na serikali hivyo huwa kuna namna ya kuwakamata wahusika hasa kama
kumetokea malalamiko toka idara flani kuhusiana na matukio yoyote yanayopelekea
uvunjifu wa amani au kupotosha maadili” Alisema Kamanda huyo kipenzi cha watu
Aidha Kamanda huyo
aliendelea kufafanua “ Pia Jeshi la polisi linamamlaka ya kumkamata mharifu
yeyote kwa muda wowote endapo kipindi hicho akikutwa anafanya uharifu ni pamoja
na upigaji picha hizo chafu, Lakini kubwa tuhajitaji kumkata mtu na ushahidi
ili iwe rahisi kumbana na kumfikisha mbele ya sheria” Alisema
Mtafungwa alimaliza kusema “
Tunaendelea kufatilia kupita mitandao ya kijamii ili kuona hizo picha zikoje
halafu tuhaahidi kuwatolea taarifa hadharani kupita kwa msemaji wa Jeshi la
Polisi Kanda ya Kinondoni RPC Wambura ambae kisheria ndiye mwenye mamlaka ya
kusema” Alisema Mtafungwa
Aidha xdeejayz ilifanya kazi
ya ziada ya kumtafuta Manaiki Sanga ambae kwa sasa amekimbia Jiji na yuko
Wilayani Mufindi Mkoa wa Iringa nyumbani kwao ambapo baada ya kubadili namba ya
simu lakini jitahada zilizofanywa na xdeejayz zilifanikisha kupata namba yake
ya simu mpya na msanii huyo aliweza kufunguka mengi.
Manaiki alianza kwa kusema “
Any ways mimi sina la kuongea kama kuchafuka nimeshachafuka na hivi
ninavyokwambia nipo nyumbani kwa mke wangu huku Mafinga kwani kuvuja kwa picha
zangu za faragha zimenisababishia matatizo makubwa sana hadi mke wangu
amenikimbia” Alisema Manaiki
Hata hivyo xdeejayz
ilipohitaji kujuwa kuhusu picha zake zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii na
kwenye magazeti pendwa zikimuonesha alikawa amekatwa Manaiki alijibu“ Hata mimi
nilishangaa kuona taarifa kuwa nimekamatwa kisa picha zangu binafsi za faragha
ukweli kwamba sio kweli. Mimi sikukamatwa kwa kosa hilo isipokuwa nilikamatwa huku
Iringa siku nilipokuwa natoka huko Dar na walionikamata ni askari wa dolia na
baada ya majibizano ya hapa na pale wakanifunga pingu lakini kabla
hawajanifikisha kituo cha polisi Mufindi wakaniachia baada ya kuwaomba radhi kwa
kosa la kutovaa mkanda wakati naendesha gari langu nikiwa na mdogo wangu wa
kiume” Alisema Manaiki
Manaiki aliendelea kueleza siku
iliyouata nilishangaa kuona picha zangu kwenye mitandao ya Facebook na Blogs
zilinionesha nikiwa nimekamatwa na polisi na hata sijui ni nani alinipiga hizo
picha lakini nadhani huenda wakawa askari wenyewe kwa vile siku hiyo ilikuwa
usiku mkubwa na hapakuwa na mwananchi yeyote aliyeshuhudia.
Aidha Manaiki alimaliza
kusema kuwa “ Kupotea kwa camera yangu ambayo ilikuwa imesheheni picha zangu na
wasanii wenzangu zimenighalimu sana kwani nimepata usumbufu mkubwa sana toka
ndani ya familia yangu na huku mke wangu akishindwa kunielewa na kukimbia na
kuja huku kwao ambapo nimekuja kwa ajili ya kusuruhisha” Na kuongea kuwa
alifanya kosa kubwa baada ya kupotelewa na camera yake hakwenda kutoa taarifa
polisi kwa vile alikuwa na camera mbili.
Hata hivyo kufuatia taarifa
hiyo mastaa wengi wamekuwa tumbo joto kutokana na kuweka picha ningi kwenye
mitandao kwa makusudi ili kujiongezea umaarufu hivyo endapo kweli Jeshi hilo
litatilia mkazo suala hilo huenda wako watakao hama mji kwa kuhifia kukamatwa.
Aidha Xdeejayz ilipata
nafasi ya kuongea na Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda ya Dar es Salaam Ally M. O.
Mlege alisema kuwa Jeshi la Polisi limeongeza ulinzi maalum usionekana kwenye
vituo vya mabasi toka nje ya nchi ikiwa na lengo la kuthibiti uingizwaji wa
dawa za kulevya baada ya njia ya Airport kuwa ngumu hivyo wanaamini huenda
wafanyabishara hao wakabadilisha mfumo huo.
No comments:
Post a Comment