| Mama yake mzazi na msanii diamond platnum bi Sandrah ambae alienda kuniwakilisha akiwasili maeneo ya kigogo msiba ulipokuwepo akiwa na dada angu Esmah Khan.... |
| Umati wa watu ukiwa umekusanyika nyumbani kwakina Barnaba kutoa heshima za mwisho..! |
| Familia wakitoa heshima za mwisho.....!! |
| Ni huzuni na sintoamini utawala kipindi hiki inapofika kuagana mara ya mwisho na mpendwa wako.... |
| Barnaba akiagana na Mama ake kwa mara ya mwisho.....!! |
| Madee akiwa na Lady Naa......!! |
| Joh Makini baada ya Kuaga Mwili.....!! |
| Baadhi ya wanakikundi wanaounda Tanzania House of Talent (T.H.T) |
| Mwili ukiwa umepakiwa tayari kabisa kuelekea makaburini kwaajili ya maziko kumpumzisha Mama....!! |
| Esmah Khan & Hawa walikuwepo kuwafariji wafiwa... |
| Hapa mwili ukiwa umewasili makaburini tayari kabisa kwa maziko...! |
| Jeneza likishushwa kaburini na wanafamilia....!! |
| Barnaba akitupa mchanga wa mwisho kwenye kaburi la marehemu mama yake |
| Barnaba akionekana kuishiwa na nguvu kabisa mpaka kufikia hatua ya kutokuweza kusimama, ilibidi asaidiwe...!! |
| Mume wa Bi Mariamu Arubeth akiweka mchanga kaburini...!! |
| Jeneza likiwa ndani ya kaburi tayari kwa kuanza kufukia na mchanga.....! |
| Hyper Man HK alikuwepo pembeni na mwanamuziki Shilole...!! |
| Producer Lamar wa Fishacrab Studio alikuwepo pia...! |
| Hali ile ya uchungu na kulia sana ilipelekea Barnaba kukosa nguvu na kuzimia kwa dakika kadhaa... |
| Baada ya kuzinduka akisaidiwa kuingia kwenye gari kuwaishwa Hospital kutokana na kupoteza nguvu kabisa...!! |
| Simple the Boyalionekana kuwa mbele kwenye ratiba ya makaburini kuakikisha mipango inaenda sawa...!! |
| Mume wa Marehemu akisimika msalaba kaburini ..!! |
| Msemaji wa familia akisoma historia fupi ya marehemu Mariamu Arubeth...!! |
| Msemai wa Familia akitoa maelekezo kwa waombolezaji mara baada ya kumaliza shuguli a maziko...!! |
| Umati wa waombolezaji wakitawanyika makaburini baada ya shuguli ya mazishi kukamilika...!! |
| picha na this is diamond |
No comments:
Post a Comment