TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Sunday, June 23, 2013

AFTER PARTY YA KIL SHOW NDANI YA CLUB MAISHA DODOMA YAVUNJA REKODI! WATU WALA BATA MWANZO MWISHO!

 Mashabiki wa burudani wakiwa ndani ya Club Maisha wakila bata mwanzo mwisho jana.

 Dada Amina kula bata kwa raha zakooooooooooo!!!

 Nani aliyekwambia watoto wazuri wanapatikana Dar tu? Cheki kazi za maana hizo wato hao hawakuwa nyuma kujumuika kwenye kiota namba moja cha burudani Dom Club Maisha.
 Baby takecare Dodoma hii kuna matajiri wenye pesa zao niseje ibiwa bureeeeeee!
 Eest zuu nao walikuwepo mjengoni
 Nani aliyekwambi sisi wanafunzi hatuwezi kutumia pesa kama hivi? Hapa ni kunyonya mvinyo hadi kuche kudadeki!!!

 Watoto kama hawa walikuwepo nao kuwakilisha
 After Party ya leo imetisha kudadeki.







 Mme tisha guys!!! hizi gambe za Club Maisha zimetisha.
 Nani alikwambia sisi watu wafupi hatuwezi kula bata kama hivi. Pesa ndo kila kitu bana.
 Kaza kwako Sharo hapo ni wewe tu kuchagua viuno ndo hiyo kama unavyovicheki.

Wasichana waliojitambulsha kwa majina ya Asnat, Asha na Mariam wakiwa wamechafua meza kwa vinywaji vya gharama ndani ya Club Maisha.

No comments:

Post a Comment