Friday, 24 May 2013
MWANDISHI MAARUFU WA VITABU NCHINI NIGERIA,CHINUA ACHEBE AZIKWA JANA,PICHA ZA MAZISHI YAKE HIZI HAPA
![]() |
![]() |
Jeneza lilibeba mwili wa marehemu Chinua Achebe |
![]() |
![]() |

Raisi wa Nigeria
Goddlucky Jonathan

Mmoja wa
waombelezaji ambaye ni muuzaji wa vitabu hapo Nigeria

Raisi wa Nigeria na Raisi wa Ghana wakiwapungia
waombolezaji

Mke wa Marehemu Christie Achebe

RIP Chinua Achebe..nakikumbuka kitabu cha 'Things Fall
Apart'
No comments:
Post a Comment