Alitewahi kuwa mtangazaji wa Clouds FM, Fina Mango,
amevamiwa na majambazi usiku wa kuamkia jana, akiwa nyumbani kwake na familia
yake.majambazi hayo yapataya 8, yalivamia na kuchukua pesa taslim, pamoja na
mali kadhaa ambazo Fina hakutaja ni mali gani na fedha kiasi gani pale
alipoandika kupitia mtandao wa twitter.
nimejaribu kumtafuta kwa ajili ya info zaidi, lakini
hakuweza kupatikana baada ya kuambiwa simu yake pia ni moja kati ya vilivyobebwa
na majambazi hayo. katika tukio hilo hakuna aliejeruhiwa
No comments:
Post a Comment