DIAMOND AENDI KWENYE SHOW BILA YA BARAKA ZA MAMA YAKE PIA AKANYAGI STEJINI BILA YAKUBUSU ARDHI YA STEGI
Mkali DIAMOND PLATNUM akipata baraka kutoka kwa
mama yake mzazi kabla yakwenda kufunika kwenye show ya uzinduzi wa video ya me
and you. huo ndio umekuwa utaratibu wake kutokana na kumkubali sana mama yake
mzazi ameamua kumpa heshima hiyo ya kumpa dua kabla ya kutoka kwenda kwenye
tamasha pia mie kama mie nimeshamshuhudia mkali huyo mara kazaa akiwa anataka
kupanda kwenye stage lazima abusu ardhi ya stegi ndio apande kwenye stage. hii
ni kwa wasanii tofauti kwa mfano nilishamuona ROMA akiweka alama ya msalaba
kabla yakupanda kwenye stage.nahisi hii ni kama utaratibu waliojiwekea wasanii
wa bongo fleva, tanzania.
DIAMOND na madansaa wake kwa pamoja wakipewa
baraka na mama diamond platnum
No comments:
Post a Comment