TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Monday, November 12, 2012

HAKUNA ATAKAE VUNJA PENZI LETU MIMI NA BOND:ANT LULU

Aliyekuwa mtangaziji wa kituo cha televisheni cha C2C Lulu Mathius Semagongo (Ant Lulu) amejitokeza na kusema kuwa hakuna kidudu mtu yoyote mwenye ubavu wa kuvunja mahusiano yake na mchumba wake wa    siku nyingi Bond Bin Sinon.
Akiongea na Xdeejayz Lulu alisema kuwa siku za hivi karibuni kumezuka taarifa za uongo juu yake  kuwa amemwagwa na Bond jambo ambalo sio kweli"Mimi na Bond tuna miaka minne sasa natunatarajia kuishi kama mume na mke hivyo wanatamani mabaya yatokee imekula kwao mimi na Bond hakuna kututenganisha" Alisema Lulu

No comments:

Post a Comment