TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Saturday, October 27, 2012

MWANAJESHI ADAIWA KUMPIGA NA KUMJERUHI MWANANCHI

!
Mwanajeshi mmoj aliyefahamika kwa jina la moja la Yusuph mkazi wa Kiwalani Machimbo anadaiwa kumpiga hadi kumsabanishi amaumivu makali kijana mmoj aliyefahamia kwa jina la John Kanyanyuka kisa kikidaiwa kuwa ni kombati ya ya Jeshi.
Habahri zilisonaswa na mtandao huu zilisema kuwa mwanajeshi huyo alimvamikia kijana huyo ambae ni pia ni mchora katuni maarufu nchini na kuanza kumshushia kipigo cha mbwa mwizi huku akiwaita vijina wa kihuni nao kumfanyizia kijana huyo, Ambae walimkomba kila kitu na kumuacha mweupe.
Hata hivyo baada ya taarifa hizo Xdeejayz ilimtafuta Kamanda wa Polisi Kanda ya Ilala ili kuthibitisha tukio hilo ambapo Kamanda huyo hakuweza kupatikana ili kuzungumziua tukio hilo la kushikitisha.
Aidha  Xdeejayz ilimtafuta mwanajeshi huyo kupitia simu yake ya mkononi na kuhoji kujichukulia sheria mikononi wakati utaratubu wa kumchukuliwa mtuhumiwa hatua unafahamika ambapo msoja huyo alijibu" Sihitaji kuhojiwa chochote huyo kijana kwanza anakombati nyingi tu inabidi akazioneshe" Kisha kamanda huyo akakata simu.
Hadi paparazi wetu anaitaarifu habari hii hakuweza kufahamika kama tayari kamanda huyo amekwishakamatwa au laa. 
  

No comments:

Post a Comment